hasskis07 Member Oct 1, 2011 40 27 Oct 6, 2011 Thread starter #2 Kiongozi mwenye uwezo na si wa chama chako tu!
hasskis07 Member Oct 1, 2011 40 27 Oct 6, 2011 Thread starter #3 Taifa ni bora kuliko chama,hivyo taifa,jimbo au kata yako ni bora kuliko chama chako!
GeniusBrain JF-Expert Member Nov 3, 2010 4,315 306 Oct 6, 2011 #4 hasskis07 said: Nani anasathili kuchaguliwa? Click to expand... Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! subiri mpaka ifike acha kutupotezea muda bana
hasskis07 said: Nani anasathili kuchaguliwa? Click to expand... Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! subiri mpaka ifike acha kutupotezea muda bana
hasskis07 Member Oct 1, 2011 40 27 Oct 6, 2011 Thread starter #5 Usiwe tayari kuuza kura yakoa au kumpa mtu wa chama ikiwa hana uwezo!
hasskis07 Member Oct 1, 2011 40 27 Oct 6, 2011 Thread starter #6 Kura ni maisha yako na uamuzi wako juu ya mali asili na uhai wako.