2015-uchaguzi mkuu na hatma ya nchi

Tutazipitia hoja zoteza wachangiaji. Tumalizie na sehemu ya mwisho ya bandiko 189

Sehemu ya IV na mwisho

WAPINZANI WANAVYOPOTEZA MUDA
Tumesema Lowassa hana watu wanaoamini uwezo wake. Hakuna aliyejitokeza na kupangua tuhuma zinazomkabili.

Wote wamejikita katika hoja ya kuhama naye. Waliokuwa mstariwa mbele wameweka majembe chini, wanatubia CCM

Maana yake, kazi waliyopewa imefika ukingoni. Ima ilikuwa na mafanikio au la hilo si shauri lao.
Hakuna ushahidi wa wafuasi wake kuondokaCCM

Wengi ni wafadika wa mfumo, wanaujua unawajua , hawaondoki

Hii habari ya wapinzani kuanza kuzungumzia ujio wa Lowassa inahuzunisha sana

1 Ujio wake hauongeza idadi ya wapiga kura. Kwanini!
Jibu , umma wa ulichoshwa na CCM utaamuaima kurudi kwa zimwi linalowajua au kukata kukaa pembeni

2 Kitendo hicho kitaondoa Imani kuhusu malengo ya upinzani,CCM itatawala miaka 50 ijayo.
Ni ngumu kupata muumini wa siasa, rahisi kumpoteza.
Jitihada za wapinzani kwa miaka 20 itabidi zirudiwe tenamiaka 30

3 Hivi huyu anayetajwa, anajua falsafa na sera za wapinzani?Anajua sera zao?

Si huyu aliyekuwa anaagiza FFU akiwa mkubwa. Usiku mmoja tuDodoma umebadili mawazo yake!
Na sasa ni mtu mwema wa kuaminiwa?

4 Wapinzani, sera na maadili mnayopiginia yatabeba sura ganimbele ya jamii

5 Tunajiuliza kama Lowassa anakubalika na ana wafuasi,kwanini asiende UDP kwa cheyo na watu wake ili washinde

Inaendelea
 
KAULI ZA WANASIASA WALIOIVA

Kama ni swali kuhusu Lowassa kujiunga na upinzani, hakukuwa na sababu za wanasiasa kuanza kutoa maelezo marefu

Mwanasisa aliyeiva angesema haya ''Tunakaribisha watu wote katika chama.period''

Kitendo cha kuanza kumzungumzia mtu kina athari sana kisiasa. Kuna political base, isingependa kusikia chochote zaidi ya kile wanachoamini

Wapo tayari kuwa na wabunge 10 wa maana kuliko 200 wasioamini katika falsafa, itikadi na Imani kwa chama
Wanajiuliza wapi Shibuda na Arif na msaada wao ulikuwa ninikatika upinzani

ATHARI ZA MANENO AU KAULI KULEKEA UCHAGUZI

Kauli kuhusu Lowassa zinabaki kuwa ‘za kusikika'

Katika kipindi hiki, wapinzani wanafanya kosa kubwa sana kumjadili mtu

Tulidhani wangekuwa mstari wa mbele kunadi wagombea ,kujadili sera , kuonyesha mafanikio na kutoa dira ya tuendako

Kwa hali yoyote iwayo, tendo la kumtaja Lowassa , kiongozimwenye mizigo iliyosemwa na wapinzani hao inasitisha

Ni jambo linalopunguza morali ya political base yao, linalotia hofu kwa watu wa kati na kati ‘grey shade' inasikitisha

Wapinzani wajue CCM haiwasubiri, wala hawana rasilimali

Kucheza nyimbo zao ni maafa kwao.Wajiulize hivi wanaposema wapo tayari kutwaa dola, maana yake ni fisi walioku wawanasubiri binadamu aangushe mikono

Kuelekea uchaguzi mkuu, wapinzani wakitaka waaminiwe, kwanza wajiamini na pili waonyeshe ukomavu wa kisiasa

Lengo la wapinzani tumeshasema ni plan A1 na A2

Hakuna uharaka usio na mwisho mzuri. Hili la kumjadili mtutena mwenye mizigo ni failure kwa upinzani

Kama wanataka kuona nguvu ya umma, wajaribu!
Tusemezane

MJINI CHAI
 
Last edited by a moderator:
UKAWA NA CHADEMA wanaweza kuwa salama zaidi kama EL atakubali ushauri wangu kwake nilioutoa tarehe 18/07/2015 hapa JF (https://www.jamiiforums.com/uchaguz...ga-ccm-wahamia-chadema-35.html#post13328199); nilisema/andika hivi:-

Ili Edward atulize munkari wa Kitengo na watumiaji wa kitengo, huku akionyesha kutokukubaliana na maamuzi yaliyotolewa na kudhibitisha kuwa ana maamuzi maamuzi magumu afanye yafuatayo:

1. Ajiudhuru/ajiuzuru nyazifa zote ndani ya chama (ulezi wa vijana nakadhalika) abaki mwanachama wa kawaida.
2. Atangaze adharani kuwa kuanzia sasa hatachukua masurufu ya uwaziri mkuu wa kustaafu.
3. Atangaze kuwa anaachia ngazi ya uwenyekiti wa kamati ya 'usalama' ya bunge, maana bunge halijavunjwa rasmi
mpaka tarehe ishirini kama mkulukulu alivyosema.
4. Atangaze rasmi kwa wafuasi wake (kama wapo), kuwa sasa wafanye maamuzi wanayoyataka bila kuathiri sheria za
nchi na watumie haki yao ya kikatiba kuamua kuchagua yeyote wanayeona anafaa kutuongoza katika nchi yetu bila
kujali yeye ameamua kumuunga mkono nani.
5. Awaombe wanaCCM wamsamehe kwa kukaa kimya juu ya mchakato wakuteua mgombea, ila sasa wamruhusu kuwa
mwanachama wa CCM aisiye na cheo cochote ndani ya chama.
6. Atangaze rasmi kuwa atakuwa tayari kushirikiana na rais YEYOTE ambaye atachaguliwa na watanzania wote na yeye
akiwemo kama raia wa kawaida na si mgombea.
7.....

MwanaJF unaweza kuongeza mengine ambayo unadhani kwa hekima,busara, na tahadhari kubwa Edward anatakiwa kuyafanya.
Bado ninakiamini nilichoandika tarehe 18/07/2015 kuwa kinafaa.
 
Mkandara.nimekusoma vizuri wewe pamoja na Nguruvi3. hoja zenu.

Ni kipi wananchi wanatakiwa kukifanya kwa sasa maaana walikuwa wanategemea upinzani kama kimbilio lao upinzani nao kimbilio lao kwa hawa mafisadi ambao kila siku wamekuwa wakiwambia wananchi ndiyo wanaoliangamiza taifa letu kwa ufisadi.

Kwa mtazamo huu wananchi wanaotaka mabadiliko wamebakia njia panda hawajui wapi wakimbilie.
Mshume kiyate
Tatizo si wananchi, ni wapinzani ambao mageuzi kwao ni jambo wanalolitaka kwa udi na uvumba.
Wananchi wapo tayari kuwaunga mkono

Kimbilio la mafisadi si jibu la tatizo la nchi.Kinachosumbua nchi ni mfumo uliojengwa unatumiwa na mafisadi.

Lengo la kwanza ni kuvunja mfumo huo si kubadilisha'' jezi
''

Nafasi ya wapinzani kufanya hivyo ipo, lakini inahitaji umakini, tafakari na busara

Kinacho onekana wapinzani wamekosa vitu hivyo kwa wakati huu

Hivi nani anamhitaji mwenzake, mpinzani au fisadi?

Si hawa ndio walikuwa wanazomea wapinzani wakitoka bungeni,leo wana kipi walichoona cha maana baada ya majina kukatwa?

Kama wana nguvu, kwanini wasiende UDP ya Cheyo au TPP ilikujenga upinzani kwa nguvu zao tukielewa wanakubalika?

Kwanini wakimbilie kwa upinzani ulioimarika ikiwa wana nguvu?
 
Umeongea swala la msingi sana, Mtanzania yeyote yule anaruhusiwa kujinga na chama cha siasa na ninafahamu kuwa katika vyama vya siasa kuna wanachama ambao ni wezi, majambazi, wala rushwa, mafisadi na nk.na kwa hili chama hakiwezi kufanya uchunguzi wa kila mwanachama anayejiunga na chama hicho.

Katika swala la Lowassa ninashindwa kuelewa mantiki ya Mh. Mbowe kumkaribisha Lowassa Chadema mtu ambaye tuliaminishwa kwa ni mla rushwa na ni fisadi na waliotuambia hayo si CCM pekee bali hata viongozi wa Chadema akiwemo Dr. Slaa.

Sasa watambie ni lini Lowassa alicha kuwa fisadi?

Lowassa ana muhimu gani ndani ya Chadema maana chadema kama chama kimesimama kwa juhudi na maarifa ya viongozi wake na ya wananchi kwa umjula. Sasa huu muhimu wa Lowassa kwa sasa hivi unatoka wapi? Hivi kweli viongozi wa Chadema wanapenda madaraka kiasi ambacho kwao Lowassa ni muhimu kuliko sera na itikadi za chama?

Ni kweli husiopingika kwa mwaka huu tunahitaji kura ya kila mtu, na hivyo basi tunahitaji hata kura za wafuasi wa Lowassa na kwa hili ni muhimu kutumia ushawishi wa aina yeyote ile ili kuweza kupata kura hizi LAKINI KURA ZA KULAZIMISHA LOWASSA KUJIUNGA NA CHADEMA TENA AKIPAMBWA NA HAO HAO VIONGOZI WALIOTUAMINISHA KUWA LOWASSA NI MLA RUSHWA HIZO HATUZIHITAJI MAANA KWA KUFANYA HIVYO HATUTAKUWA NA TOFAUTI NA CCM. Bora kubaki wapinzani kuliko kumkubali Lowassa kujiunga na Chadema, Maana unapomkubali Lowassa, umemkubali na Chenge, Karamangi, Rostam na nk.Ni lazima tusimamie tuyasemayo majukwaani siasa za kilaghai zikome.

Mbowe kama unataka kwenda Ikulu kwa kutumia mbinu chafu za kunajisi ilani ya Chadema sisi wanachama hatuko tayari kufanya hivyo. Lowassa mlitwambia ni Fisadi na anabaki kuwa Fisadi labda mje mtwambia kuwa mlikuwa mnatulaghai.
Kuna maswali mazito sana hapo.

Maswali hayo si ya JF, bali watakutana nayo mbele ya safari. Watakapokuwa hawana majibu, hakika upinzani utafikia tamati

Bado ninaendelea kuhoji, hivi wapinzani kwa miaka zaidi ya 20 ina maana hawakuwa wanajua nini wanataka, kwa njia gani, muda gani na mbinu gani?

Hivi,wapinzani wameshindwa kutoa mtu wao hadi wasubiri kujadili makapi ya CCM?

Hao wanaokuja, wanakuja kutetea nini, Urais au ilani ya vyama vya upinzani?

Hivi, tatizo ni watu au ni mfumo mbaya wa kuongoza nchi?

Si hao hao ndio walikataa mgombea binafsi, leo wanahangaika na wale waliotaka mgombea binafasi, tutegemee nini?

Hivi,si hao hao ndio walikuwa wazomeaji wakuu wapinzani wakitumiliwa, leo wanakuwaje wapinzani wa kile walichoamini?

Ni kitu gani kinawavuta, sera za vyama au nafasi za uongozi?

Tumalizie kwa kusema, mchezo wa simba na yanga kuibiana wachezaji hawajafanikiwa kuvikuza vilabu hivyo.
Vimebaki katika VPL daima dawamu, wakienda CAF ni uozo tu

Hao wanaosemwa wana nguvu, kwanini wasitumie ‘lebo' ya UDPau Chausta kufikia malengo yao? Kwanini waende upinzani
Alinda, nikupe hadithi ya Pan Africa na Nyota nyekundu za Dar!

Kwa hili, kama litatokea Mbowe ana la kujibu mbele ya mahakama ya wananchi.
Kama ameshindwa kusimami mageuzi ya dhati nchini, ni wakati sasa atoe nafasi kwa wnye dhati

Tusemezane
 
Mkuu Nguruvi3,
I feel so disappointed kwq habari hizi, kama zina ukweli wa aina yyt inauma sana kwamba kumbe wapinzani hawaezi kusimama kwa miguu yao, so embarrassing so painful, why?? Kwa nn wasubiri waliokatwa ndio waje wawabebe kwenye uraisi, mm naamini wanancji wengi sana wanawakubali na wapo tayari kuwaamini kama tu nao watajiamini sio kumtegemea mtu mwenye uchu na madaraka awabebe.

Sikatai Lowassa and his team kuja upinzani, ila napinga kwa nguvu dhana yyt ya ku kabidhi ugombe uraisi kwa kuona yeye anakubalika kwa hiyo wengine bawakubaliki, kwa kufanya hivyo mtawafanya wapiga kura ambao walikua hawajaamua sasa kuiamini CCM na kuona ndio wanatoa viongozi bora, upinzani haurakiwi kuwapa CCM point ya kuwananga kama hii ya kumchukua mtu toka kwao kugombea uraisi.

Ningewalewa UKAWA au CDM kama wanajiona hawatoshi wangemyafuta mtu neutral kama akina Kabudi au Butiku na wengine nje ya system za siasa kuliko huyu amabae kiukweli ana makandokando kibao.

Nihitimishe kwa kusema, Kama Kweli EL ana hasira na uchungu wa kuonewa huko alikotoka ahamie CHADEMA kama mwanachama wa kawaida na kumuunga mkono mgombea wa UKAWA kwa moyo mmoja na kushawishi wanaomuunga mkono yeye wawaunge mkono wapinzani, hapo tutamuona kwamba hana tamaa ya madaraka bali ameichoka CCM na system yake na yupo tayari kwa mabadiliko bila tamaa yyt. Lakini kutaka yeye agombee uraisi ni uroho uleule wa madaraka na kiu ya uongozi.

ni imani yangu viongozi wa UKAWA hawatapungukiwa na maarifa kiasi cha kufanya kosa kubwa kama hilo la kuharibu taswira yao waliyoijenga kwa mahangaiko na usaliti mwingi kwa zaidi ya miaka 15 naamini watakua makini ktk kipindi hiki muhimu sana na very decisive kwa mustakabali wa nchi.
 
CHADEMA NA UKAWA KWA UJUMLA

Mnachokifanya ni hatari sana kwa ustawi wenu kisiasa, utawi wa demokrasia na mustakabali wa nchi

Tunarudia tena MBOWE, SLAA NA WENZENU mnachokifanya ni kusaliti umma, kusaliti mabadiliko na kukumbatia ubinafsi

Lini mtu amegeuka kuwa chama? Kama mtu ni mkubwa kuliko chama kwanini asije kusaidia waliopo bali kuchukua nafasi?

Mtabeba na kuweka wapi mizigo atakayokuja nayo

Mbowe, Slaa , UKAWA ! Mnachokifanya mtakijutia katika maisha yenu. Usaliti mnaoujadili utawaandamana

Tunasema tena na tena, mnaandaa mazingira ya kuua taifa! Historia itawataja kwa kila nukta, mnaua taifa!
 
CHADEMA NA UKAWA KWA UJUMLA

Mnachokifanya ni hatari sana kwa ustawi wenu kisiasa, utawi wa demokrasia na mustakabali wa nchi

Tunarudia tena MBOWE, SLAA NA WENZENU mnachokifanya ni kusaliti umma, kusaliti mabadiliko na kukumbatia ubinafsi

Lini mtu amegeuka kuwa chama? Kama mtu ni mkubwa kuliko chama kwanini asije kusaidia waliopo bali kuchukua nafasi?

Mtabeba na kuweka wapi mizigo atakayokuja nayo

Mbowe, Slaa , UKAWA ! Mnachokifanya mtakijutia katika maisha yenu. Usaliti mnaoujadili utawaandamana kaburini hadi mbinguni

Tunasema tena na tena, mnaandaa mazingira ya kuua taifa! Historia itawataja kwa kila nukta, mnaua taifa!
Nguruvi3.

Hautakiwi uwe kipofu kwa uzalendo wa nchi yako mpaka unashindwa kupigania ukweli.

Wamewangusha sana wala hawakujali ushauri wenu mmepigana vya kutosha.

Pole sana...
 
Last edited by a moderator:
Kwa vile habari zinazosambaa zina utata, tusubiri , muda utasema

Jambo moja tunaloweza kusema, kuna 'damage' kubwa sana inayofanyika iwe kweli au si kweli

Habari zizispodhibitiwa madhara yake ni makubwa na inaonekana UKAWA wamepoteza focus

Bandiko linalofuata

UKAWA na siasa, bila kujua siasa ina sehemu ya science, hesabu na takwimu

Inafuata
 
Poor UKAWA/CHADEMA.

Mtajutia hicho mnachotaka kukifanya.

Mko mbioni kutengeneza CCM Lowassa ( Liberal) Dhidi ya CCM Magufuli (potential CONSERVATIVE).

CCM conservative hawatalala.. hawatakula ... hawatakunywa ... Bila kuchoka watakuja kwa namna .. Ya kujeruhiwa. Wata reform .. Watajinoa.

CCM Lowassa kwa jina la Chadema au Ukawa ...Huo ndio Mchngo Wenu. Mtafutika Kwenye Siasa za Nchi hii.

Ni usaliti wenye manufaa yaliyo tabiriwa. Upinzani Wa Kweli Utatokana CCM yenyewe.
 
ni mtazamo wako mkuu!!
 
Nguruvi3.

Hautakiwi uwe kipofu kwa uzalendo wa nchi yako mpaka unashindwa kupigania ukweli.

Wamewangusha sana wala hawakujali ushauri wenu mmepigana vya kutosha.

Pole sana...

Nguruvi analia when is too late!! Mbowe ni opportunist na in politics ni sawa kabisa. Kuweka matumaini yako na moyo wako kwa watu wa aina ya mbowe ndio huwa wana waaibisha,

usafi?? sio kweli kuwa akina mbowe ni wasafi, mbona lilipigiwa sana kelele na nguruvi, mag3 na yule mchambuzi walikuwa watetezi wa kwanza?/

wala haijapita miaka mingi mnaanza kulia usaliti wa mbowe na slaa?? hivi hamna akili?/ akina Nguruvi na mag3???

kwa siasa hizo hizo mbowe alifanikiwa kuwaaminisha zitto ni msaliti ( nadhani mlisema usiku na mchana hata kulala hamkulala) na mpaka mkaanzisha thread nyingi mno....na kusema sana Lowassa ndie anaifadhili ACT!! kiko wapi??

Nguruvi, i thought angekaa kimya sana na sio kulialia kitoto when all was so clear kuhusu tabia ya mbowe

kisiasa hii move ya mbowe iko sahihi kabisa, siku nyingine mkome kuamini wanasiasa kiasi hicho, muwe mnatumia akili zenu, kama mngekuwa wasichana mmeishapewa mimba!! kueni sasa
 
Wrong! Mkuu kama unatusoma vizuri bila kuwa na prejudice, siku zote tumesema tunasimama kwa ajili ya taifa. Rudi nyuma usome neno hilo linajitokeza mara ngapi

Hakuna mahali , hakuna mahali! tumesema (hapa duru) fulani ni msafi. Tunachosema siku zote ni kufuata kwa kanuni, taratibu

Na wala hakuna uchafu wa mtu au usafi wake unaoweza kuwa mbadala wa uchafu wa mtu au usafi wa mtu mwingine

In fact, huyo Mbowe unayesema tumewahi kuandika dhidi yake mara nyingi sana.
Nikukumbushe kidogo ukitaka kurejea kwatika kumbu kumbu

1. Ziara ya Obama ( Hapa tulisimama na kusema 'ajiuzulu') ni sisi peke yetu tuliwahi kusema hilo, rejea historia

2. Juice ya Maembe

3. Hotuba ya kumkaribisha mwenyekiti Hai

Haya tunayosema ni ushahidi mzuri kuwa sisi tunaangalia taifa hatuangalii mtu.

Kauli mbiyu yetu '' hapendwi mtu inapendwa hoja, haonewi mtu wala hapendelewi'

Hivyo tunasimama katika ukweli, na tumeshasema tena 'ukweli unatuweka huru' ndio maana tunaandika kwa kujiamini bila woga, hofu, haya , uonevu au upendeleo
 
Tafadhali mpuuze huyo jamaa labda kama hakufuatlii vizuri msimamo wako na mabandiko yako, kimsingi ww ni mtetezi wa maslahi ya taifa na huwa unakosoa chama tawala au upinzani popote unapoona pana mapungu, so asiku discourage kwa namna yyt, tumeshuhudia mabandiko mengi wewe na wenzako mkikosoa na kupongeza pasipo kupebdelea.

kimsingi wengine tumejifunza mengi so wanaokukebehj hawajui thamani yako wapuuze kabisa, kinachotokea ninupande wanaoshabikia una mapungufu mengi ndio maana wanadhani ww ni mshabiki fulani kumbe ni mkosoaji huru
 
Thanks Mkuu, nilikuwa nampa hints tu za hapa duru. Kama ulivyosema wengine wanaongozwa na 'hasira'
Huyo mkuu tunajua hasira zinatokea wapi.

Ukisoma mabandiko tuliyowahi kujadiliana naye, mara zote tumesema 'Taifa mbele, watu na vyama baadaye' Leo hakumbuki. Anyways record zipo wakihitaji zitatolewa

Tunaendelea.....

Political science

Nini mwelekeo wa taifa katika miezi ijayo na kuendelea

Thanks mkuu, waiting for the next part, though hili suala la Lowassa kuhamia Ukawa linanisumbua sana na kuutesa moyo wangu na kunikatisha sana tamaa
 
Thanks mkuu, waiting for the next part, though hili suala la Lowassa kuhamia Ukawa linanisumbua sana na kuutesa moyo wangu na kunikatisha sana tamaa
Mkuu hili suala liwe la kweli si kweli, tayari lina atahari sana kisiasa kwa Ukawa. Tutafafanua

Kuna uzi unaosema ''CCM njia panda, Ukawa maji ya shingo' tulieleza haya yanayotokea sasa

Kutakuwepo na mabandiko 3 , sehemu ya I tayari tunaelekea ya II na III

Itaendelea...
 
Wrong! Mkuu kama unatusoma vizuri bila kuwa na prejudice, siku zote tumesema tunasimama kwa ajili ya taifa. Rudi nyuma usome neno hilo linajitokeza mara ngapi

Hakuna mahali , hakuna mahali! tumesema (hapa duru) fulani ni msafi. Tunachosema siku zote ni kufuata kwa kanuni, taratibu

Na wala hakuna uchafu wa mtu au usafi wake unaoweza kuwa mbadala wa uchafu wa mtu au usafi wa mtu mwingine

In fact, huyo Mbowe unayesema tumewahi kuandika dhidi yake mara nyingi sana.
Nikukumbushe kidogo ukitaka kurejea kwatika kumbu kumbu

1. Ziara ya Obama ( Hapa tulisimama na kusema 'ajiuzulu') ni sisi peke yetu tuliwahi kusema hilo, rejea historia

2. Juice ya Maembe

3. Hotuba ya kumkaribisha mwenyekiti Hai

Haya tunayosema ni ushahidi mzuri kuwa sisi tunaangalia taifa hatuangalii mtu.

Kauli mbiyu yetu '' hapendwi mtu inapendwa hoja, haonewi mtu wala hapendelewi'

Hivyo tunasimama katika ukweli, na tumeshasema tena 'ukweli unatuweka huru' ndio maana tunaandika kwa kujiamini bila woga, hofu, haya , uonevu au upendeleo

Una roho mgumu kama ya Lowassa! ona aibu mkuu

post za emotion na ubishi bila kutumia akili zipo na unazifahamu!

kwa kifupi akina Mbowe wamewavua nguo, wamejitofautisha wao ni akina nani

yaani juzi ndio umejua Mbowe ni opportunist? how many times mliishaambiwa??

sema yote, jifiche kwenye kivuli cha uzalendo na maslahi ya nchi hii.......ila haukuwa fair hata kidogo

hii ni aibu na mtu mzima anachutama chini kwanza!!

kisiasa narudia tena, alichofanya mbowe ni 100% correct!!! ila the same mbowe huwa anacheza dirty politics kwa watu wazuri na wasafi kama zitto na kucheza dirty politics ambazo huwa mnazikubali!!

Mbowe is a nigga! level zake ziko juu mno

ila lwa wwenye akili kama wewe maipaswa kujua!!

Is your thread ACT mpini wa kumaliza upinzani...is it still valid?? kabadili title

nadhani kwa sasa tunaweza kuwa in the same ground, tukajadili kwa afya na amani tele

kubali tu sometimes you were wrong thinking these guys are saints!
 
Back
Top Bottom