Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,389
- 31,337
- Thread starter
- #201
Tutazipitia hoja zoteza wachangiaji. Tumalizie na sehemu ya mwisho ya bandiko 189
Sehemu ya IV na mwisho
WAPINZANI WANAVYOPOTEZA MUDA
Tumesema Lowassa hana watu wanaoamini uwezo wake. Hakuna aliyejitokeza na kupangua tuhuma zinazomkabili.
Wote wamejikita katika hoja ya kuhama naye. Waliokuwa mstariwa mbele wameweka majembe chini, wanatubia CCM
Maana yake, kazi waliyopewa imefika ukingoni. Ima ilikuwa na mafanikio au la hilo si shauri lao.
Hakuna ushahidi wa wafuasi wake kuondokaCCM
Wengi ni wafadika wa mfumo, wanaujua unawajua , hawaondoki
Hii habari ya wapinzani kuanza kuzungumzia ujio wa Lowassa inahuzunisha sana
1 Ujio wake hauongeza idadi ya wapiga kura. Kwanini!
Jibu , umma wa ulichoshwa na CCM utaamuaima kurudi kwa zimwi linalowajua au kukata kukaa pembeni
2 Kitendo hicho kitaondoa Imani kuhusu malengo ya upinzani,CCM itatawala miaka 50 ijayo.
Ni ngumu kupata muumini wa siasa, rahisi kumpoteza.Jitihada za wapinzani kwa miaka 20 itabidi zirudiwe tenamiaka 30
3 Hivi huyu anayetajwa, anajua falsafa na sera za wapinzani?Anajua sera zao?
Si huyu aliyekuwa anaagiza FFU akiwa mkubwa. Usiku mmoja tuDodoma umebadili mawazo yake!
Na sasa ni mtu mwema wa kuaminiwa?
4 Wapinzani, sera na maadili mnayopiginia yatabeba sura ganimbele ya jamii
5 Tunajiuliza kama Lowassa anakubalika na ana wafuasi,kwanini asiende UDP kwa cheyo na watu wake ili washinde
Inaendelea