2015 Mhe Vincent J Nyerere tunaomba urudi ulingoni.

Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
90
Kwa kweli ndugu zangu wana jamii Musoma mjini kuna kata kumi na tatu lakini katika kata hizo kumi na tatu.kulikuwa na kata mbili sugu ambazo ni kata ya kitaji na Bweri eneo la Majengo.miaka ya nyuma au kwenye uongozi wa ccm kipindi kama hiki cha masika wakazi wa maeneo hayo walikuwa wanahama nyumba zao kutokana na mafuriko.Lakini aliposhika madaraka 2010 na moja wapo ilikuwa ni ahadi kwa wakazi wa maeneo hayo kwa hakutakuwa na mafuriko tena kwenye kipindi cha uongozi wake Mhe Vincent alisema kweli na kwa sasa hivi hakuna makazi wa maeneo hayo ambye nyumba yake imesombwa na maji hii ni kuwa sababu ya mitaro ya kisasa ambazo wamejenga kuelekeza maji ziwani
kwa kweli nimeamini uongozi wa Mhe Vincent katika ahadi zake alizo ahadi amezifanyia kazi.
 
Mungu ibariki tanzania,
mungu ibariki chadema,
mungu mbariki mhe vicent nyerere.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom