2014's most spectacular new cruise ships jipe raha ya maisha....

life is Short

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
4,741
3,031
7.jpg

.
5.jpg
6.jpg
2.jpg
 
Hapana kaka me sitaki izo stress, me niombee nikazipate peponi, na wewe na uwapendao wote
AMIN
Mdogo wanguWee Moula karimu... keshakuambia Usisahau nasibu yako duniani *{ waLaa Tansa'a Nassibak.... '}*
Fadhila zake ni nyingi...
 
hivi kwa hapa tanzania kuna mwanadada ambaye ana-worth kupelekwa kwenye hii ship kweli?
msijenge chuki ni mtazamo wangu tu!!!!!!!!!!
Mkuu hilo ship likiparki pale bandarini Dar.... maonyesho Furahaipoje kutembelea wewe na wanafamilia na wapendanao pia...!
 
Harusi yangu ntafanyia huku, siku hii concept itakapowekwa kuwa reality
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom