2014 ujumbe linda afya yako jikinge na ukimwi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
1521218_502363229861571_249262300_n.png paris-lovers-big.jpg
1521218_502363229861571_249262300_n.png lovers.gif
 
Funga mwaka au sio ahya wamekuskia

Madudu ya ajabu hufanyika usiku huu tunajaribu kutahadharisha, na kinga madhubuti licha ya nidhamu ya kuishikisha adabu miili yetu, kuruhusu mwamko na kutimiza haja zake ni kujichimbia kaburi.
 
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Shirikisha ujume kwa walengwa, sikukuu hizi kunafanyika ngono zembe na wakishalewa huwa akili za wengi kama retarded or under influence, hivi hata tahadhari hawachukua bali kuridhia msukumo wa nature na wakishamaliza ndipo wanapokumbuka kwamba kuna kitu muhimu kinga imesahaulika.
 
^^
Ukweli unapopasua mioyo,thread za hivi hukosa wachangiaji.
Asante kwa kutukumbusha
^^

Kwa nia njema tu na kusoma ishara za nyakati katika sikukuu kama hizi za mikesha ya kusubiria kuanza mwaka kuna maajarbu ya wenye jinsia tofauti kukaribiana na furaha inapozidi hasa baada ya kushusha moto na baridi kinga husahaulika, maana siku hizi bora kukazania watu kinga kuliko kuvimbishia mishipa kukataza kugonoka.
 
baada ya kuona hii post jana nienda kupima and am safe from hiv thx to this post this year i will be carefully
 
Back
Top Bottom