2013: Ungependa CHADEMA wafanye nini zaidi?

Wabunge vijana wapate semina elekezi namna ya kutoa na kutetea hoja, wasikutupuke ktk mahojiano. Mtu kama Sugu aachane na mambo ya kuimba matusi, atafute suluha kwa hoja za msingi
 
Back
Top Bottom