2012 mwaka wa mabiff, tujikumbushe nani zaidi ya nani na kwanini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2012 mwaka wa mabiff, tujikumbushe nani zaidi ya nani na kwanini

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Marketer, Apr 17, 2012.

 1. M

  Marketer JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ni mtazano tu msijenge chuki, na maneno yangu sio sheria.

  Hizi ni zile zilizobamba hasa kitaa.

  OPRAH VS NDIKU KATAU
  Dah! kama utani vile alichokiunganisha mola waja wakakitenganisha taratiibu.

  SIWEMA VS ALMASI PLATNUMS
  Hii ilitegemewa sema watu walikuwa wanahesabu dakika tu. Ila imembenefit madini kachukua tuzo 3 kili awwards kama promo basi imewini.

  SIWEMA VS KIDOTI
  Character assasination za hatari ziliibuka. hii ilikuwa mrudiano maana raundi ya kwanza ilikuwa kwenye umisi 2006. Kama kawaida mbabe mbabe tu sikuzote. A winner is a winner

  RUGA VS MR. LAINI 2
  Hapo chacha mtu chake, airtime ndefu kumuharibia tu mbaya wako. umoja ni nguvu so mwisho virus wamedestroy main computer.

  KANU VS RAYMOND
  Hii ngoja ni :tape: :tape: kwani bado nina :Cry:

  MRUMI VS HAYO MABUSINESS
  kili awards zimeamua nani zaidi, naona ndugu zangu wa roma italia wamebeba tuzo 2. si haba. hayo mabusiness usisafirie nyota ya warumi, si unajua pilato alivo :tape: Utawala wa warumi umerudi.

  MANGESHO KIMAMBA VS CYNCIERE MASASIA
  Hii underground ila nzito, kutoka character assasination, mpaka kuban kabisa visa ya adui yako,Nakusimamia ban haiondolewi, kupiga simu interpol nakuhakikisha depotees wote wa zamani na juzi hawakanyagi states daima na endapo wakidiriki basi waishie inerpol.
  Ila kubaki bongo ukiendesha mikoko hatari kama ile benz kwenye nimpende nani si sawa na kubaki bongo unapanda tax.

  NDO KWANZA APRIL MATOKEO NI
  1 DEAD AND SEVERAL INJURED. TUONE MWISHO
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  B.Kidude vs Mzee Ngurumo
   
 3. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  Mzee Mtei na familia yake vs Zitto.
   
 4. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Chademu na cc em vp! Umesahau
   
 5. S

  Skype JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Nape vs LoRoChe.
  Huu ulikua mnyukano wa hatari uliopewa jina la kuvuana magamba. Sijui kwa sasa unaendeleaje.
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tbc 1 vs Chadema
   
 7. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi na Udini
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hayo matokeo yanatisha, 1 dead, several injured?? Better make love not war..!
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Mimi vs mods.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  like . . . . .

   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaaaaa
  Bann.com
   
Loading...