Vasco wa degamer
Senior Member
- Feb 21, 2016
- 194
- 144
Watanzania watakuwa na tatizo,
tubadilike na kila tunapojadili kitu tukumbuke nini nyuma tulikifanya na tulitamani kuwa nacho.
Baada ya mkwere Meli kumuendea mulama. Watanzania walisema mzee nchi imemshinda, hii nchi ili inyoke anatakiwa apatikane rais mwenye tabia za kidctator asiyeogopa kupambana na hawa mafisadi na wezi badala ya huyu mkwere anaeishia kuwachekea, mmoja wa watu waliotajwa sana kuwa na criteria hizo ni Magufuli wakati huo akiwa waziri wa ujenzi miaka ya 2012 mpaka miaka ya 2014 alitajwa sana, 2015 haikuwa kivilee!
Japo baadhi walithubutu kusema kama katiba ingekuwa inaruhusu, basi Mkapa angekabidhiwa nchi tena coz anaelements za kidictator.
Mkapa akaona isiwe issue sana, akawaletea JPM, ikafika hatua mpaka
Mkwere akakili kwamba mliyemtaka "TINGA TINGA" kapatikana.
Leo watanzania wapumbavu na malofa wanalau eti ana elements za kidictator?.
Enyi watanzania ...................nani aliyewaloga?