2011 will be a unique year

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
Jaribu kuchunguza na wewe pia, It happens once in a lifetime, It will start with a combotec!! 1st day is 1/1/11 then after 10 days 11/1/11 after 10 months 1/11/11, then after 10 days it will be 11/11/11.

WISH YOU A WONDERFUL NEW YEAR..
 
The Finest una akili sana hii kitu umeiona mwenyewe au umeisoma sehemu?Kama ni wewe mwenyewe hongera sana na kwa wataalamu wa namba inawezekana kuna ujumbe hapo.
 
saafi sana!
Katika ilm ya namba(Numerology)
Kuna makundi mawili (i) root number.....1-9
(ii) compound number...11......hadi utapofikia ww.
Kila namba inachukua uzito wake na inapewa sayari yake. Hapo ndipo utaanza kutafsiri maana uitakayo.
Kwa ujumla ilm ya namba imegawika mafungu matatu
(i)Kabballah.
(ii)Chaldean
(iii)Pythagorean
Kwa hiyo upangaji huo ni kawaida tu kutegemea unataka kutafsir kitu gani?
 
sasa hapo maalim, hiyo itakuwa inatafsiri nini?.......happy new year my boy Finest
 
Jaribu kuchunguza na wewe pia, It happens once in a lifetime, It will start with a combotec!! 1st day is 1/1/11 then after 10 days 11/1/11 after 10 months 1/11/11, then after 10 days it will be 11/11/11.

WISH YOU A WONDERFUL NEW YEAR..

Truly finest!
 
jitahidi upate nakala ya Mwananchi kuanzia kesho j'maa au j3. Nimeelezea matukio kwa ujumla yatayotokea mwaka 2011.
Kwa mfano kaka Preta mwaka wako uliozaliwa ni upi? Itabidi ujumlishe upate namba moja...tunaiita Root #.
Au unachukua tarh na mwezi uliozawa unajumlisha ili upate namba ...tunayoiita Root # utaiongza
 
utaiongeza na mwaka 2011.jibu utalopata itakupa tafsiri kuhusu wewe peke yako. Mfano umezawa 12.5....utaijumlisha hivi: 1+2+5=8 hii nane unaenda kuiongeza na mwaka
2011+8=2019....utaijumlisha 2+0+1+9=12...utaijumlisha tena hadi ibakie single number(root number)...1+2=3 your luck number for 2011.
Matumizi yz namba ni mengi kaka Preta. Kwa maana hiyo mwaka 2011=4 ambayo iratuashiria kupoteza vitu vingi...kudhulumiwa zaidi.usahaulifu mwingi. Inatosha kidogo!
 
Huo Utabiri inabidi usiutoe wote UISHIE HAPOHAPO
maana mwaka huu nimeplan Mambo mengi sana!!!!

utaiongeza na mwaka 2011.jibu utalopata itakupa tafsiri kuhusu wewe peke yako. Mfano umezawa 12.5....utaijumlisha hivi: 1+2+5=8 hii nane unaenda kuiongeza na mwaka
2011+8=2019....utaijumlisha 2+0+1+9=12...utaijumlisha tena hadi ibakie single number(root number)...1+2=3 your luck number for 2011.
Matumizi yz namba ni mengi kaka Preta. Kwa maana hiyo mwaka 2011=4 ambayo iratuashiria kupoteza vitu vingi...kudhulumiwa zaidi.usahaulifu mwingi. Inatosha kidogo!
 
freddywm. Mwaka wa vurugu kwako. Hakuna kitachotimia! Hofu zitakuandama zaidi. (hints) watu wengi hukutwa na hali hizo lakini wao hua wanajipa moyo...ilhali ukweli ndio huo huo...sasa kunahaja gani ya kupuuza. Lengo la utabiri ni ili ujue na uchukue tahadhari.
 
Paka mweusi,hajanifukuza atii ameogopa n,siendelee kutafsiri.
Naww na kupa 5 maana ndie ulie nihamasisha kidogo niwape mambo...rejea thread yako...!
 
Maajabu mengine Ndugu zangu wana JF.
Mwaka 2011 kuanzia wiki ya pili tarehe 6 mwezi wa pili. Siku na tarehe zitafanana na mwezi wa 3.
Pia mwezi wa 10 kuanzia wiki ya pili pia. Hayo ni mambo yakawaida...(Mahjur)Maalim Abal Hasan JumaR.
 
Jaribu kuchunguza na wewe pia, It happens once in a lifetime, It will start with a combotec!! 1st day is 1/1/11 then after 10 days 11/1/11 after 10 months 1/11/11, then after 10 days it will be 11/11/11.

WISH YOU A WONDERFUL NEW YEAR..

Great thinker :whoo: Real unique!
 
jitahidi upate nakala ya Mwananchi kuanzia kesho j'maa au j3. Nimeelezea matukio kwa ujumla yatayotokea mwaka 2011.
Kwa mfano kaka Preta mwaka wako uliozaliwa ni upi? Itabidi ujumlishe upate namba moja...tunaiita Root #.
Au unachukua tarh na mwezi uliozawa unajumlisha ili upate namba ...tunayoiita Root # utaiongza

hakika mwaka ujao ni mwaka wa mafanikio mengi
 
saafi sana!
Katika ilm ya namba(Numerology)
Kuna makundi mawili (i) root number.....1-9
(ii) compound number...11......hadi utapofikia ww.
Kila namba inachukua uzito wake na inapewa sayari yake. Hapo ndipo utaanza kutafsiri maana uitakayo.
Kwa ujumla ilm ya namba imegawika mafungu matatu
(i)Kabballah.
(ii)Chaldean
(iii)Pythagorean
Kwa hiyo upangaji huo ni kawaida tu kutegemea unataka kutafsir kitu gani?

Maalim aslm hiyo kali duuuu!!!!
 
Jaribu kuchunguza na wewe pia, It happens once in a lifetime, It will start with a combotec!! 1st day is 1/1/11 then after 10 days 11/1/11 after 10 months 1/11/11, then after 10 days it will be 11/11/11.

WISH YOU A WONDERFUL NEW YEAR..
:llama::llama::llama::llama::llama:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom