2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

Aliyeandamana peke yake ni Ndunguru au Mwita?
Mwita aliandamana peke yake kudai bumu liongezwe toka 5000 hadi 10000 ila akakamatwa kabla ya kufika Bodi ya mikopo.Kipindi hicho alishab alikua hasikiki.Baada ya kukakamatwa ndio vuguvugu la kudai bumu liongezwe likaibuka chuo.
Nakumbuka Kipindi hicho waziri wa elimu alikuwa shukuru kawambwa akaja chuo na kukubali kupandisha hadi 7500.Mwita ni mmoja wa waliyeuliza swali siku hiyo

Nakumbuka mwaka huo CoET walikuwa na mgomo wao wa kutaka mwanafunzi mwenzao arudishwe baada ya kudisco kwa kukamatwa na kibum kwenye UE.

Mgomo wa CoET ulisababishwa wafukuzwe chuo.
 
Mwita aligoma peke yake bumu liongezwe kufika 10000 japo yeye alikuwa mwaka wa mwisho na hakuwa na faida nalo hata linhepanda.

Heshima zote zimuendee Mwita popote alipo kwa kuwa mwanaharakati wa kweli anayeweka maslahi ya watu mbele dhidi yake.
 
Huyu Mwita badae alikuja kusaliti.
 
Siku zimepita ,huyu jamaa alikuwa mweusi ana mwili mdogo sana. Alikuwa anatembea na nyaraka za serikali kiasi kwamba Kila mtu alimshangaa kuwa alizipata wapi hizo nyaraka.

Uwezo wake wa kujieleza na kujenga hoja haukuwa wa kawaida. Ni kijana jasiri kuliko maelezo.
kwanini watu kama hawa nivigumu kuwa viongozi?
 
Mwita aliandamana peke yake kudai bumu liongezwe toka 5000 hadi 10000 ila akakamatwa kabla ya kufika Bodi ya mikopo.Kipindi hicho alishab alikua hasikiki.Baada ya kukakamatwa ndio vuguvugu la kudai bumu liongezwe likaibuka chuo.
Nakumbuka Kipindi hicho waziri wa elimu alikuwa shukuru kawambwa akaja chuo na kukubali kupandisha hadi 7500.Mwita ni mmoja wa waliyeuliza swali siku hiyo

Nakumbuka mwaka huo CoET walikuwa na mgomo wao wa kutaka mwanafunzi mwenzao arudishwe baada ya kudisco kwa kukamatwa na kibum kwenye UE.

Mgomo wa CoET ulisababishwa wafukuzwe chuo.
Yeah hivi nami ndivyo nnavyokumbuka na Mwita siku ile hakuwa tu mmoja wa wauliza swali ila alikuwa mzungumzaji mkuu
 
Upo sahihi.Kuna migomo miwili inachanganywa. Ule wa kudai bum liongezwe aliyeandamana peke yake alikuwa mwita.Alishab aliibuka kwenye kudai bum lilipochelewa kama sikosei.

Tena nakumbuka baada ya College nyingine kupata CoET walicheleweshewa.Mgomo ulipotulia wa College zingine CoET wakalianzisha tena peke yao. CoET walikuwa na tabia ya kujitenga kwenye migomo ya magwini.

Ule mgomo wa kutaka wadogo wapewe mkopo wote haukuwa na nguvu kwa kuwa ulisababisha viongozi wengi wa DARUSO kufukuzwa baada ya kukaa kikao kutaka kuidhinisha mgomo.

Mwita alikuwa na Sauti flani hivi ya kulalamika.Kikao kilifanyanyika maeneo ya shuttle point.CoET hawakuandamana walikuwa wemejifungia geti lao wakiendelea na mgomo wao.Ulipoisha wa kudai bum lipande CoET wakaendeleza wa kwao kama kawaida wakawa wanafunga geti.
 
Mbona hao Coet unawarudiarudia sana, mimi utata wangu ulikuwa kwa Mwita au Ndunguru. Alshabab alikuja kujulikana mwaka unaofuata na mgomo aliokuwa anaongoza ni wa kukosa mkopo. Madogo wengi sana walioingia chuo mwaka wa masomo 2011/2012 walikosa mkopo na bahati mbaya ule mgomo hata haukuzaa matunda
 
Baadae alikuwa mpole sana ila alichokifanya hakitaweza kusahaulika kamwe.Harakati zake zilisababisha bum liongezwe kwa Wanafunzi.Historia itaendelea kumkumbuka huyu jamaa.
Kwanza kwenye mgomo wa bum alikuwa mwaka wa tatu na ongezeko la bum wala hakunufaika maana waliongeza mwaka unaofuata. Walitaka aendelee tu kuhatarisha masomo yake kwa mambo ambayo yeye kwake hayana faida?
 
Mbona hao Coet unawarudiarudia sana, mimi utata wangu ulikuwa kwa Mwita au Ndunguru. Alshabab alikuja kujulikana mwaka unaofuata na mgomo aliokuwa anaongoza ni wa kukosa mkopo. Madogo wengi sana walioingia chuo mwaka wa masomo 2011/2012 walikosa mkopo na bahati mbaya ule mgomo hata haukuzaa matunda
Naweka historia sawa.
Hao jamaa walikuwa watata sana kwenye migomo wakiamua kitu lazima wakipate.Nilikuwa napenda sana kufuatilia migomo yao.
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom