KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,477
- 2,360
Yupo hapa kijijini amekuwa kibarua wa mashambani anaingiza Tsh 3000/ kwa siku baada ya kazi ya Masaa 12.Ila ajabu kweli huku hata hagomi!!Huyo huyo Ndunguru akafika revolution square pale, akaanza kutema hoja baada ya muda watu wakajaa, jamaa yuko peku peku anaongea balaa. Kilichokua kinasisimua zaidi ni hoja zilivyokua zinatolewa. Baada ya Ndunguru na wengine kukamatwa sasa ndio chuma Alshabab kilipoamka sasa,, akaanza peke yake ku mobilize watu na kuhubiri. The guy will make a very good politician sijui yuko wapi siku hizi.