2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

Huyo huyo Ndunguru akafika revolution square pale, akaanza kutema hoja baada ya muda watu wakajaa, jamaa yuko peku peku anaongea balaa. Kilichokua kinasisimua zaidi ni hoja zilivyokua zinatolewa. Baada ya Ndunguru na wengine kukamatwa sasa ndio chuma Alshabab kilipoamka sasa,, akaanza peke yake ku mobilize watu na kuhubiri. The guy will make a very good politician sijui yuko wapi siku hizi.
Yupo hapa kijijini amekuwa kibarua wa mashambani anaingiza Tsh 3000/ kwa siku baada ya kazi ya Masaa 12.Ila ajabu kweli huku hata hagomi!!
 
Humu kuna vijamaa vinajikuta viko vikamilifu hakuna. Kwa mwenye ufahamu hawezi sema "chuo kilikuwa enzi zetu". Kila muda huwa na mambo yake, wewe umeyaish yako na wengine watayaishi ya kwao.
 
Unamaanisha yale maandamano yalikuwa hayana msingi?
Msingi ulikuwepo ila kisheria yalikuwa batili.
Kufika chuo kikuu haswa UDSM kusoma, ni bahati na mtu anatakiwa kusoma kwa bidii.
Zitto anajua sana huu mchezo maana alikuwa anachochea, halafu vurugu ikianza anaingia mitini.
Mimi unyumbu siwezi
 
Aaaah wapi akili kubwa sana ile, labda kama serikali iliamua kuendelea kumsakama na kumzuia kufanya shughuli zozote za kiuchumi.
Yupo hapa kijijini amekuwa kibarua wa mashambani anaingiza Tsh 3000/ kwa siku baada ya kazi ya Masaa 12.Ila ajabu kweli huku hata hagomi!!
 
Humu kuna vijamaa vinajikuta viko vikamilifu hakuna. Kwa mwenye ufahamu hawezi sema "chuo kilikuwa enzi zetu". Kila muda huwa na mambo yake, wewe umeyaish yako na wengine watayaishi ya kwao.
Kweli kabisa boss.
Humu ndani kila mtu anaona enzi zake ndo zilikuwa bora.
 
msomi wa chuo kikuu hata neno "lecture" tu linakushinda kuliandika kwa ufasaha badala yake unaandika "lekicha". sasa si bora tu ungeandika "mhadhara wa kitaaluma"

kumbe bora hata mimi niliyeishia darasa la nne B.
Unamkosoa mwenzio wakati wewe hujui kuwa baada ya (.) neno linalofata huanza kwa herufi kubwa.
 
Daah udsm ilikuwa raha enzi zile, nakumbuka tukiwa lekicha na msaidizi wa mkandala Dr kessi,siku hiyo Prof hakuja pale Theatre one wakamvamia Kessi,daah akaanza kuomba kwa kuwaambia mimi siyo Mkandala.Ndo Lekicha ikaishia hapo
Dr Ambrossy Kessy alikuwa anamsaidia kufundisha nini mukandala wakati huo local government o orgazationa theory/public administration n bureaucracies?
 
Msingi ulikuwepo ila kisheria yalikuwa batili.
Kufika chuo kikuu haswa UDSM kusoma, ni bahati na mtu anatakiwa kusoma kwa bidii.
Zitto anajua sana huu mchezo maana alikuwa anachochea, halafu vurugu ikianza anaingia mitini.
Mimi unyumbu siwezi
Watu kama nyinyi huwa hamkosekani
 
Back
Top Bottom