cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,766
- 1,425
Kweli wewe ngishi, kikulya ni boya sana!!Sisi tulikuwa na test kule yombo asubuhi tulivyogawiwa tu mitihani tukavamiwa na ilikuwa si mchezo kukiwa na mgomo nyie mkasaliti mnachalazwa hatari tulivyosikia tu wanakuja wanaimba kila mtu haijulikani alitokaje mlangoni si kwa mbio zile kulikuwa na malecturer wawili wakisimamia mtihani walitimua km vichaa test ikawa imavurugwa baada wa mgomo kuisha tulitungiwa test nyingine ilikuwa ngumu km mpingo tulikoma