2009! Wewe kinakuuma nini?

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Mwaka ndy huoo unayoyoyoma. hebu jaribu kufikiria ni kitu gani kimetukia ndani ya mwaka huu kilichokugusa saaana, aidha yin au yang, kizuri ama kibaya. Binafsi nachukia sana mwaka kuisha, kwani ni hatua moja kuelekea uzee na kifo! wewe je! TUAMBIE
 
nimetaja KIFO tu, watu washani PM eti nywele zinawasisimka!! usawa huu kufa wakati maisha ndiyo kwaanza yanaanza kuwa matamu!!!!! lol lol mkuu!! teh teh
 
Michango ya harusi imenisababishia umasikini na kupoteza marafiki nilio wachangia 20
 
..Nimechukia sana ajali zilizohusisha mabasi ya Mohamed Trans kule korogwe na ile ya Same last week! Kwa kweli inaniuma jinsi ambavyo binadamu wenzetu walivyopukutika vibaya bado naitupia lawama serikali kupitia TBS ina maana haya matairi yanayotumiwa wamethibitisha ubora wake?? Mi siogopi kifo bali naogopa maumivu na ulemavu unaosbabishwa na ajali hizo..
 
-MTIKISIKO WA UCHUMI UMERUDISHA NYUMA MALENGO YANGU.
-SIASA ZA KINAFKIZA NCHI YANGU....lol...teh teeeh.
 
Michango ya harusi imenisababishia umasikini na kupoteza marafiki nilio wachangia 20

Na bado...February 2010 mtu wa hapa JEIEFU anabeba kitu na boksi, na mchango wako ni cornerstone!. ...Naomba uondoe wazo la kuisha kwa michango hii , maana ndo kwanza safari inaanza!..BTW, are you already a member of the married-club?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom