2005 it was... 2010 it is...

Waridi

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,025
172
Wakuu,
Mojawapo ya nadharia za kihistoria ni kutazama ulikopita, ukatathmini ulipo ili uuone wakati ujao katika mwanga bora. Nadharia hiyo hebu tuijaribu kiduchu kwenye suala la wagombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Enzi za Mwalimu;
· Kivuli
· Nyerere
Enzi za Ruksa;
· Kivuli
· Mwinyi
1995
· Cheyo
· Lipumba
· Mkapa
· Mrema
2000
· Lipumba
· Mkapa
· Mrema
2005
· Kikwete
· Kyara
· Lipumba
· Makaidi
· Mbowe
· Mrema
· Mtikila
· Mvungi
· Senkoro
· Shayo
2010
Lipumba (du! Tokea 1995)
Mbowe kaishajitoa(anataka ubunge)
Mrema kaishajitoa (anataka ubunge)
Senkoro kaishajitoa(anataka ubunge)
Shayo Mungu amrehemu

Kwa hiyo huenda wagombea wakawa ni hawa wafuatao
· Kikwete
· Kyala
· Makaidi
· Mgombea mpya kutoka CHADEMA
· Mgombea mpya kutoka CUF
· Mtikila
· Mvungi
Na tutafakari mapema nani bora hapa.
 
wote hakuna kitu!!!!!!!!!!!!!
Mgombea,
Mwisho wa siku lazima tuwe na Rais. Hatuna budi kutafuta japo mwenye unafuu. I tell you kwa wingi wa wasomaji wa JF, tukiwachambua kikaranga hawa wagombea na kuonesha nani afadhali tutakuwa tumewapa mwanga watanzania.Ila tukiishia kusema wote hawana lolote basi wapiga kura wataamua kwa kurusha shilingi (kichwa au mkia)
 
Wakuu,
Mojawapo ya nadharia za kihistoria ni kutazama ulikopita, ukatathmini ulipo ili uuone wakati ujao katika mwanga bora. Nadharia hiyo hebu tuijaribu kiduchu kwenye suala la wagombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Enzi za Mwalimu;
· Kivuli
· Nyerere
Enzi za Ruksa;
· Kivuli
· Mwinyi
1995
· Cheyo
· Lipumba
· Mkapa
· Mrema
2000
· Lipumba
· Mkapa
· Mrema
2005
· Kikwete
· Kyara
· Lipumba
· Makaidi
· Mbowe
· Mrema
· Mtikila
· Mvungi
· Senkoro
· Shayo
2010
Lipumba (du! Tokea 1995)
Mbowe kaishajitoa(anataka ubunge)
Mrema kaishajitoa (anataka ubunge)
Senkoro kaishajitoa(anataka ubunge)
Shayo Mungu amrehemu

Kwa hiyo huenda wagombea wakawa ni hawa wafuatao
· Kikwete
· Kyala
· Makaidi
· Mgombea mpya kutoka CHADEMA
· Mgombea mpya kutoka CUF
· Mtikila
· Mvungi
Na tutafakari mapema nani bora hapa.

atakaye weza kuonga zaidi ndo bora,maaana watz hawajui hata umuhimu wa kuchagua hadi sasa wanachagua kwa misingi ya chama cha nyerere na kimetutoa mbali...amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom