maforce
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 660
- 615
Poleni member wa JF kwa majukumu yenu. Nia ya kuandika bandiko hili jukwaani hapa ninaomba kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu gari hii ya 2005 BMW 1 SERIES (116i)
1. Fuel consumption per kilometer
2. Matatizo makubwa ya kiufundi kwa hizi gari
3. Upatikanaji wa vipuli
Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu karibuni sana kwa mawazo
1. Fuel consumption per kilometer
2. Matatizo makubwa ya kiufundi kwa hizi gari
3. Upatikanaji wa vipuli
Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu karibuni sana kwa mawazo