- Thread starter
- #141
Una uhakika hiyo gari ni chafu mkuu?? Ama tairi ndio chafu?Mkuu mbona gari chafu huitunzi? kitunze na kipende kidumu!
Mimi sina hela ya kununua..napita tuu!
ThanxChombo ya heshima sana hii,ukimiliki huyu mdudu dhambi zinafutika zenyewe,
,,,acha nikazisakel kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app