2001Tom Clancy "Ghost Recon" game predicted Georgia Russia Conflict. Set in 2008

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
181
I don't know how many of you still play video games ila I do time to time...
Kuna game moja ya Tom Clancy(one of my favorite authors) mission ya kwanza kwenye Ghost Recon inaanzia South Ossetia, kwenye game majeshi ya Warussi yanasaidia waasi wa Georgia....Ghosts wanatumuwa kwenda kunyamazisha fyoko fyoko...

[media]http://www.youtube.com/watch?v=dtAwn1ATtcU[/media]
 
Some fishy, sijawahi kutumia maneno kama hayo. MODS/ADMIN kuna mtu aliyefanya editing?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom