2000$ kila mwezi,niendelee kupokea?


Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,419
Likes
990
Points
280
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,419 990 280
Habari wadau
Mwaka 2008 nilikua nasoma chuo mwaka wa kwanza,sasa ikatokea nilikua nachat kwenye mtandao wa kijamii ndipo nikakutana na kijana mmoja he was 28 by that time na mimi i was 20, the guy ni raia wa cyprus lakini anaishi turkey,so we used to chat kupitia sim,email tulikua tunatumiana picha and all that

Sasa the guy akaniambia he is in love with me and he was ready to come in tanzania to see me,kiukweli kwa jinsi nilivyomuona kwenye picha,skype he was good yani in short i was in love too.

The guy was commites,kila mwezi alikua ananitumia 2000$-3000$ ili zinisaidie katika masomo,kwa bahati mbaya one year later tukaja kupotezana,it just happened tukawa hatuwasiliani,everybody was kimya kwa mwenzake.there after nlikutana na mtu mwingine ila sio kwe mtandao,,then nikaanza nae mahusiano,kweli nilipomaliza chuo mungu akajalia nikapata kazi halafu tukafunga ndoa na mungu akajalia tukapata mtoto, miezi miwili baada ya kujifungua nakumbuka ilikua jumatatu jioni,nikapokea msg kwenye simu yangu,he was tht cyprus guy(Alex) na msg yenyewe ilikua ni details za kuchukua pesa western union kiasi cha dola elfu nne 4000$. Kiukweli sikujua cha.kifanya maana tayari nilikua na maisha mengine,mume na mtoto,hizo pesa sikujua nitamwambia mume wangu zimetoka wapi wakati mshahara wangu anaujua,actualy huwa naandika proposals apart from my employment kwa hiyo nikamwamwambia husband naenda kuchukua malipo ya proposal.

Kesho yake asubuhi nikaenda western union nikachukua hizo pesa almost milioni nane.baada ya hapo ilinibidi nimtumie email alex nimueleze ukweli kwamba nimeolewa na nina mtoto,na nikafanya hivyo,alikaa kama wiki nzima bila kusema chochote hayimaye wiki iliyofuata akajibu na alijibu very short kwamba "its ,but i cant stop my supports to you,any time when you need please dont hesitate,i am happy for you, and i respect it,please take care"hayo ndo majibu ya alex,kilichonishangaza zaidi,since that time,ilikua ni mwaka jana december to this moment kila mwisho wa mwezi anatuma dola 2000$ sio kwamba namuomba na sio kwamba nina mawasiliano nae,huwa simpigii,simtumii email wala msg,na hata akituma details za kuchukua pesa huwa simjibu wala huwa simpi feedback but still kila mwezi lazima atume,i am real confused,sihitaji tena aendelee kutuma pesa,kila nikimwambia anasema ni responsibility yake kunisapoti,nawaza akituma nizisuse nisiende kuchukua ili zikae western union weee wakona receirver hatokei wanazirudisha kwa sender,

Wadau hebu nisaidieni nifanye nini,simjui alex i only knowhim kweny pichanatamani nimwambie mume wangu ila sijui atachukuliaje ukizingatia he is sooo jelous,nipeni maujanja mwenzenu
 
ankol

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
1,250
Likes
513
Points
280
Age
39
ankol

ankol

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
1,250 513 280
Ngoja nivae miwani kwanza.
 
S

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Messages
1,945
Likes
1,676
Points
280
Age
32
S

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2013
1,945 1,676 280
Naomba umwachie hiyo kazi lara 1 atakusaidia kumaliza tatizo..

maana usd 2000 kila mweza si haba katika kuuguza mguu wake
 
Last edited by a moderator:
Me370

Me370

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
993
Likes
8
Points
0
Me370

Me370

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
993 8 0
Mimi nakushauri zirudishe zote. kila aikituma rudisha next day. Muamini Mungu na kuwa na imani kuwa unachostahili ni kile unachokitokea jasho kihalali.
 
Ntakasi

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
1,431
Likes
16
Points
135
Ntakasi

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
1,431 16 135
Ngoja ninywe maziwa kwanza....
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
22,010
Likes
16,579
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
22,010 16,579 280
Aisee... 2000$ from a total stranger every month???? ..
Hilo ni bonge la boom sista, ila.....mmmmh, mi naogopa!
Je, kama hatoki huko Cyprus?
Je, kama ni hela za midawa? lol..#justThinking ...
what if...
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,192
Likes
433
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,192 433 180
Mwambie mumeo kuwa kuna proposal uliandika kusapoti watoto yatima, sasa kuna watu wamejitolea kuwa wanasaidia. Then tafuta kituo kimoja cha watoto yatima, kila akituma hela unachukua unaenda kuwanunulia watoto hao mahitaji...

Simpooo
 
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Messages
13,526
Likes
10,998
Points
280
Raimundo

Raimundo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2009
13,526 10,998 280
Naomba umwachie hiyo kazi lara 1 atakusaidia kumaliza tatizo..

maana usd 2000 kila mweza si haba katika kuuguza mguu wake
Haya ni matusi kwa lara 1, hata kama anaandikaga vitu hivyo huwezi kuongea kwa kumtusi namna hii. Mtake radhi dada yetu.
 
Last edited by a moderator:
kapolo

kapolo

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
287
Likes
8
Points
35
kapolo

kapolo

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
287 8 35
Duh..Kweli hii Kali,mueleze mumeo ukweli
 
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2008
Messages
2,720
Likes
36
Points
145
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2008
2,720 36 145
Kwanini usimwambie mume wako...kama zile $4,000 ulizichukua na mkazila wote...mweleze then muamue pamoja....
 
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
950
Likes
33
Points
45
MTIMBICHI

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
950 33 45
Unaogopa nn kama hela zinakuja tu bila kuomba au ndio promo
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,419
Likes
990
Points
280
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,419 990 280
Aisee... 2000$ from a total stranger every month???? ..
Hilo ni bonge la boom sista, ila.....mmmmh, mi naogopa!
Je, kama hatoki huko Cyprus?
Je, kama ni hela za midawa? lol..#justThinking ...
what if...
Mimi pia am thinking alot,just like you,since 2008 anatuma tu pesa
 
Baba Watoto

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2010
Messages
230
Likes
72
Points
45
Baba Watoto

Baba Watoto

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2010
230 72 45
Halafu hapo hapo ukaamka? Ngoja nikaswaki nitarudi baadae kidogo


Bado zinakuja tuu mpaka sasa?
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
4,419
Likes
990
Points
280
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
4,419 990 280
Siku huyo Alex akija Tz uwatangazie wenzio
ushangae watakaibua airport kwenda 'kumpokea' lol.
Easter of this year alikuja mombasa and he told me yupo.mombasa for vocaton yet i didn answer anything
 
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
693
Likes
8
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
693 8 0
"Binadamu wakwanza kutafuta njia za kuepukana na hela apatikana Tanzania"

Usizirudishe jaribu kusaidia huduma mbalimbali vituo vya watoto yatima,wafungwa utabarikiwa kwa aina yake hata kama hizo hela nizamadawa hazitakuletea matatizo....Mueleze mmeo ukweli wote

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,273,820
Members 490,485
Posts 30,493,029