20 kg baby born in Tehran, Iran Unbelievable Pictures

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Incredible cute pictures of seven month old 20 kilo (44 pound) baby of Iran’s capital Tehran.

healthy-baby-01.jpg


healthy-baby-02.jpg
healthy-baby-03.jpg



healthy-baby-04.jpg


healthy-baby-05.jpg

20kg-baby-06.jpg



20kg-baby-07.jpg
20-kg-baby-08.jpg


20kg-baby-10.jpg





 
Mkuu sijakuelewa hapo ina maana mtoto huyo kazaliwa na kilo 20 au alifikisha kilo 20 akiwa na miezi 7 ?
 
Mama yake mbona haonyeshwi? Wait .. nimekumbuka, kuna ile sharia za kijima za Ayatollah za kuponda mawe wanawake wanaopigwa picha.
 
Whether alizaliwa na kilo 20, au alifikisha uzito wa kilo 20 akiwa na umri wa miezi saba, huyu mtoto ana tatizo kubwa kabisa la kiafya - uzito uliopindukia.
 
BABY POTATO, wasipoangalia ataugua pressure na kisukari akiwa na miezi kumi tuu
 
This baby is seriously obese. They have to find ways of helping him otherwise he might not be lucky enough to grow and live a normal life.
 
Back
Top Bottom