20% Apelekwa Mahakamani Kwa Kukutwa na Kilo 20 za BANGI

Bob Marley has always defended this often maligned herb. He equated condemnation of this natural herb with blasphemy. How could a plant created by God be made illegal by humans? "You mean they can tell God that it's not legal?"
 
hizo zilikuwa ni kwa ajili ya matumizi binafsi tu, wam-release bana..!
 
Yote maisha wamwachie tu akauze zake bange zake, nani kamshika? hao nao utakuta wanatembelea kwa akina mama wauza gonge na defender zao wezi wakubwa hawawashiki.
Sasa naamini kazi ya polisi ni kushika wapika gongo na wauza bange na mabomu ya machozi
 
Kweli nimeamini ile nyimbo aliyoimba yeye mwenyewe 20% alikuwa akimaanisha kitu(bange bange imenisababisha ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,)

huyu bana kashikwa na Bange lake la Gram kadhaaaaaaaaaa,
Hivi hawa wasanii wetu bila hayo mabange yao hawawezi kuishi wala kuimba?

haya sasa ngoja ukanyee ndoooooooooooooo

Polisi inabidi wawakamate wasanii wote wanao tumia vinginevyo twaweza sema polisi kuna mkono wa mtu umetumika kumhujumu 20%
 
afadhali huyo
kuliko hawa chini wanaopita airport na G47 FULL NONDO
MR BLUE
SIJUI NIENEDELEE
ANAYWAY NISUBIRI KWANZA KESI YAKEE 20 PERC INAISHAJE
 
bangiii ni bangue,sijuii ninii na niniii?that bangi lazimaa ikufanyee kichaaaa,polisi,wanajeshii,viongozii wengii na watu mashuhurii ni watumia jii wazuriii wa hii kitu bangeeee,but wana vuta private sio public.
Hata Uswisi sio kosa tena wao wametenga maeneo mahsusi ya kuvutia bangi na mihadarati, kwa mji wa Bern, eneo huru la kuvutia ni mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo, The Bundes House, hii inafanya kuingiza mihadaraji nchini humu sio dili.

20% kakutwa na 20 grams, hicho ni kiwango kidogo halali kwa matumizi yake.

Kosa la kukutwa na bangi, linatakiwa lifanywe kama kosa la kufanya mapenzi hadharani, ukifanya private sio kosa.
Kuna yule lecture wa UDSM, Mjamaica, alikutwa anavuta hadharani, akapelekwa mahakamani, akakiri kuwa anatumia hiyo kitu na bila kuitumia hawezi kufanya chochote, alilipishwa faini na kuachiwa, ila aliambiwa akiitumia, aitumie private sio public!.

Nakumbuka enzi za O-level Tambaza, hiyo kitu ilitumika sana kule juu summit, wengi wa watumiaji walitoka na Div I kali, hivyo nilipojoin form V Ilboru, niliijaribu ili nami nifumue one, unfortunately mimi ilinituma vibaya!.

Ndio maana hoja za kulegalize zina uhalali fulani, tufike mahali tukubali, wale zinaowatuma vizuri, waruhusiwe kuitumia hiyo kitu, kuna wengi zinawatuma vizuri na kuna justified medical use ya marijuana kusaidia magonjwa fulani na kupunguza acute pain, na wengine inawapa raha ya ajabu katika ile game.

Lakini iendelee kupigwa marufuku kwa wale inaowatuma vibaya. Angalizo, sigara ya kawaida ina sumu ya nicotine kuliko bangi. Na kikombe kimoja cha kahawa, kina cafeine nyingi zaidi ya kusabisha addiction kuliko msokoto mmoja wa Bangi!.
 
Bangi ni ishu yaani kitu kinapanda balaa big up kwa wote tunaovuta wenye nazo na wasio nazo daahhh stimuuuu
 
Source Ilikuwa kipindi cha Amplifier Cha Millard Ayo
 
Hicho kitu cha msumbiji, kinafanania na cha malawi. Bangi nooooumar,waya za umeme unaona ni kamba za kuanikia nguo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom