tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,114
kuna vitu vingi rais wetu mpendwa anavifanya kwa kusema ana nia njema lakn huvifanya kwa njia isiyo sahihi. au naweza sema utekelezaji wake huishia kuwa wa vilio na si furaha.
kaagiza kila mmachinga awe na kitambulisho cha elfu 20,000.na katoa na mtaji anaotakiwa kuumiliki. lakn je utekelezaji wake uko hivyo?
hii 20,000 iliyoitwa ni kuwasaidia wamachinga sio kweli kwamba ni ya wamachinga na pia si kweli kwamba ni msaada bali ni msiba kwao. lakn pia imekosewa namna ya kuikusanya.
cha kwanza hii kodi ya kichwa si hela inayokwenda serikali kuu bali mkoa kwanza.na wasimamiaji wa hizi hela ni makada wa ccm. hivyo basi hizi si za serikali na kama watazipeleka serikalini ni vile watakavyopenda wao.
mkusanyaji mkuu wa aina yeyote ya hela ya serikali kuu ni TRA.
ya chini ni manispaa mpaka madiwani wanahusikia. hii ni mpya kabisa
kodi yeyote inatakiwa itungiwe sheria. hii sheria yake ni ipi. na je asiyelipa atawajibika kwa nani na kwa sheria ipi.
pia hizi pesa ni nyingi sana sio mchango ni kodi kubwa sana inapaswa kukaguliwa na GAG je CAG ana nafasi katika hela hiii??
imekosewa kuanzia vitambulisho kukosa maana ya kuwa vitambulisho. havina vigezo vya kuwa vitambulisho. pili havina namna ya kuvikagua au havina namna ya kuvisimamia. wanaosimamia ni makada wa ccm kuanzia ngaz ya mkoa mpaka chini je chama chao kikitengeneza vingine na kuviingiza kwenye mzunguko nani atawakagua ??
mimi naona wameingiza hili kama maandalizi ya kupata hela ya kampeni. na mwakani watafuta lakn watakua wamepata hela za kampeni.
la mwisho hii ni kodi ya kichwa maana haibagui asiye na biashara au aliye na biashara. yaan wanamaana kila mtanzania lazma alipe kodi direct kama anavyolipa mfanyakazi. inderect hawatak wanaona wivu.
kumbuka hii kodi kwa sasa haingalii biashara gan unafanya . inamhusu mkulima. mfanya biashara, barmed. mkuu wa mkoa mmoja alidiriki kusema hata mwokota makopo. tukubali tukatae hii ni kodi ya kichwa. kibaya zaid ni ya ccm .