20,000 ni kodi ya kichwa na pia ni ya ccm na si serikali!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
kuna vitu vingi rais wetu mpendwa anavifanya kwa kusema ana nia njema lakn huvifanya kwa njia isiyo sahihi. au naweza sema utekelezaji wake huishia kuwa wa vilio na si furaha.

kaagiza kila mmachinga awe na kitambulisho cha elfu 20,000.na katoa na mtaji anaotakiwa kuumiliki. lakn je utekelezaji wake uko hivyo?

hii 20,000 iliyoitwa ni kuwasaidia wamachinga sio kweli kwamba ni ya wamachinga na pia si kweli kwamba ni msaada bali ni msiba kwao. lakn pia imekosewa namna ya kuikusanya.

cha kwanza hii kodi ya kichwa si hela inayokwenda serikali kuu bali mkoa kwanza.na wasimamiaji wa hizi hela ni makada wa ccm. hivyo basi hizi si za serikali na kama watazipeleka serikalini ni vile watakavyopenda wao.

mkusanyaji mkuu wa aina yeyote ya hela ya serikali kuu ni TRA.

ya chini ni manispaa mpaka madiwani wanahusikia. hii ni mpya kabisa

kodi yeyote inatakiwa itungiwe sheria. hii sheria yake ni ipi. na je asiyelipa atawajibika kwa nani na kwa sheria ipi.

pia hizi pesa ni nyingi sana sio mchango ni kodi kubwa sana inapaswa kukaguliwa na GAG je CAG ana nafasi katika hela hiii??

imekosewa kuanzia vitambulisho kukosa maana ya kuwa vitambulisho. havina vigezo vya kuwa vitambulisho. pili havina namna ya kuvikagua au havina namna ya kuvisimamia. wanaosimamia ni makada wa ccm kuanzia ngaz ya mkoa mpaka chini je chama chao kikitengeneza vingine na kuviingiza kwenye mzunguko nani atawakagua ??

mimi naona wameingiza hili kama maandalizi ya kupata hela ya kampeni. na mwakani watafuta lakn watakua wamepata hela za kampeni.

la mwisho hii ni kodi ya kichwa maana haibagui asiye na biashara au aliye na biashara. yaan wanamaana kila mtanzania lazma alipe kodi direct kama anavyolipa mfanyakazi. inderect hawatak wanaona wivu.

kumbuka hii kodi kwa sasa haingalii biashara gan unafanya . inamhusu mkulima. mfanya biashara, barmed. mkuu wa mkoa mmoja alidiriki kusema hata mwokota makopo. tukubali tukatae hii ni kodi ya kichwa. kibaya zaid ni ya ccm .
 
Ni kodi ya kichwa,lini ya baiskel wataanzisha maana usukumani watapata pesa nyingi sana wafanye elf 20 unapewa stika unabandika kama zama enzi za nyerere, wasisahau matorori,mikokoteni,maguta, nk.kodi kwa maendeleo
 
Nalo litafail tu kama korosho kuuzia watu karatasi ya elf 2 kwa elf 20,mkusanyaji mkuu ni kada wa ccm hapo uleta shaka.
 
hapa dar tumeambiwa usipolipa ww ni mhujumu uchumi!! unajua mhujumu adhabu yake?? Paul Makonda
Nasikia kitambulisho hicho kwingine kinaishia mtaani kwenu ukienda mtaa mwingine kunatakiwa kitambulisho cha huko tofauti na madhumuni tajwa kwamba popote Tanzania kinatumika.
This is DANGANYIKA bwana...
 
Maswali uliyouliza ni fikirishi. Wahusika waje na majibu iwapo TRA wameshirikishwa, ipo sheria inayotamka wakuu wa mikoa kusimamia hilo zoezi, CAG atakugua huo mfuko wa kukusanyia hizo pesa nchi nzima kama ilivyo desturi, nk ili kuondoa kabisa huo utata.
 
Sheria ikitoka chatu ni halali hakuna kuhoji ukihoji wwe ni mhujumu uchumi unatumika na mabeberu kuhujumu Mbuzi jike hivo ukaee ndani pasipo dhamana. Hizi Sheria toka chatu ziundiwe regulations ili mahakamani mwende sawa kuliko kuaibika mahakamani maana mahakama haizitambui.
 
Wa
kuna vitu vingi rais wetu mpendwa anavifanya kwa kusema ana nia njema lakn huvifanya kwa njia isiyo sahihi. au naweza sema utekelezaji wake huishia kuwa wa vilio na si furaha.

kaagiza kila mmachinga awe na kitambulisho cha elfu 20,000.na katoa na mtaji anaotakiwa kuumiliki. lakn je utekelezaji wake uko hivyo?

hii 20,000 iliyoitwa ni kuwasaidia wamachinga sio kweli kwamba ni ya wamachinga na pia si kweli kwamba ni msaada bali ni msiba kwao. lakn pia imekosewa namna ya kuikusanya.

cha kwanza hii kodi ya kichwa si hela inayokwenda serikali kuu bali mkoa kwanza.na wasimamiaji wa hizi hela ni makada wa ccm. hivyo basi hizi si za serikali na kama watazipeleka serikalini ni vile watakavyopenda wao.

mkusanyaji mkuu wa aina yeyote ya hela ya serikali kuu ni TRA.

ya chini ni manispaa mpaka madiwani wanahusikia. hii ni mpya kabisa

kodi yeyote inatakiwa itungiwe sheria. hii sheria yake ni ipi. na je asiyelipa atawajibika kwa nani na kwa sheria ipi.

pia hizi pesa ni nyingi sana sio mchango ni kodi kubwa sana inapaswa kukaguliwa na GAG je CAG ana nafasi katika hela hiii??

imekosewa kuanzia vitambulisho kukosa maana ya kuwa vitambulisho. havina vigezo vya kuwa vitambulisho. pili havina namna ya kuvikagua au havina namna ya kuvisimamia. wanaosimamia ni makada wa ccm kuanzia ngaz ya mkoa mpaka chini je chama chao kikitengeneza vingine na kuviingiza kwenye mzunguko nani atawakagua ??

mimi naona wameingiza hili kama maandalizi ya kupata hela ya kampeni. na mwakani watafuta lakn watakua wamepata hela za kampeni.

la mwisho hii ni kodi ya kichwa maana haibagui asiye na biashara au aliye na biashara. yaan wanamaana kila mtanzania lazma alipe kodi direct kama anavyolipa mfanyakazi. inderect hawatak wanaona wivu.

kumbuka hii kodi kwa sasa haingalii biashara gan unafanya . inamhusu mkulima. mfanya biashara, barmed. mkuu wa mkoa mmoja alidiriki kusema hata mwokota makopo. tukubali tukatae hii ni kodi ya kichwa. kibaya zaid ni ya ccm .

Wameitaka wenyewe, wacha waisome namba!
 
Nasikia kitambulisho hicho kwingine kinaishia mtaani kwenu ukienda mtaa mwingine kunatakiwa kitambulisho cha huko tofauti na madhumuni tajwa kwamba popote Tanzania kinatumika.
This is DANGANYIKA bwana...
tunapaswa kuikataa ! na wao hawapaswi kutuona kama wahain bali watushawishi kwa hoja. ina uhalali gani? maana binafsi naona inakosa vigezo vya kuwa mapato ya taifa huku wwkusanyaji halali wamewekwa pembeni
 
Hoja zozote za kuboresha utaitwa UCHOCHEZI kama sio UHAINI!
Bwana Mkubwa alichemka kwenye Koro-show hadi sasa kimya haya tusubiri kuona namna vitambulisho vya machinga vinavyofaulu...
1982-84 kwanini zoezi kama hilo halikufanikiwa... kwanini sasa lifaulu?
Ikiwa hatuwezi jifunza kutokana na makosa hatuwezi kujifunza mambo mapya kwa majaribio yasiyoweza kufaulu.
Bahati ni kwamba wenye kuhoji ni wachache na hakuna wanaochukuliwa hatua wala kuhojiwa pale "matope" yanapodhihirika bali akili zinazopinga matope ndizo hazitakiwi na zinakuwa adui.
SIKU WANAOTUINGIZA KWENYE GHARAMA NA HASARA HIZI WATAKAPOCHUKULIWA HATUA, TUTAPIGA HATUA NA MAENDELEO TUTAYAONA...
CHINI YA TAWALA HIZI NA KATIBA HII, TUENDELEE KULIA NA KUSIKILIZIA MACHUNGU TU
 
hatupaswi kukata tamaa hata kama sauti yetu inanyamazishwa kuna siku itasikilizwa.

mageuzi ya kifikra ni magumu kuliko ya kiuchumi. kuna wakati pesa huwaangukia hata wajinga maana hubahatisha na huangukia bahati na kudra za mwenyeji Mungu. lakn kama taifa hatutakiwi kubahatisha. tunapaswa kuwa na mfumo imara kama taifa
 
Kwa kweli inabidi iingizwe kwenye orodha ya TRA kama chanzo cha mapato ya nchi, hii njia inayotumika sasa ni ubatili mkubwa.

Afrika itabaki kuwa Afrika.

Inatia uchungu.
 
Ni kodi ya kichwa,lini ya baiskel wataanzisha maana usukumani watapata pesa nyingi sana wafanye elf 20 unapewa stika unabandika kama zama enzi za nyerere, wasisahau matorori,mikokoteni,maguta, nk.kodi kwa maendeleo
Malizia kwa maendeleo ya chama cha CCM
 
Back
Top Bottom