Wana Jf napenda kutowa hoja hii kuwa DK.slaa ni katibu mkuu bora kuliko makatbu wakuu wote wa vyama vya siasa nchi tanzania. tathimini hii nimeifanya mimi mwenyewe kutokana na namna anavyo fanya kazi za chama.
Niliwahi kufanya kazi na katbu mkuu wa NCCR mageuzi wakati ule ndugu. Mabere Malando mwaka 1994 mpaka 1997 niliwahi kufanya kazi na katbu mkuu wa CUF Chama cha wananchi ndugu. Maalim Seif sharif hamadi mwaka 1998 mpaka 2007 na ninafanya kazi na dk.slaa tokea mwaka 2008 mpaka leo hii nikiwa mtendaji katka ngazi za chini za uongozi kata,jimbo na wilaya nimegundua kuna tofauti kubwa sana kati ya Dk.Slaa na makatibu wezake.
1. dk.slaa anapo fanya ukaguzi wa chama anapo kuja ktk ngazi yako ya uongozi ana kagua Uhalali wa wajumbe.
2.anasoma mihutasari ya vikao vyenu kisha ana jenga hoja kupitia alicho soma.
3. hata akiwepo ofisini ana towa matamko kwa watendaji. hali hii haipo kwa makatibu wengine wa vyama vingine utakuta wao wanapo kagua chama huwa wanasomewa risala basi kisha wao hawakagui chochote.