2% ya Watanzania na Katiba Mpya

Homer

Member
May 26, 2011
99
22
Kwa hesabu za haraka haraka, ni asilimia mbili tu (2%) ya watanzania wanaishi Tanzania Visiwani (1.3mil), inayojulikana sana kama 'nchi' ya Zanzibar. 98% ya watanzania (zaidi ya mil. 40) wanapatikana Tanzania Bara, iliyokuwa Tanganyika huko zamani kabla ya Muungano (1964).

Ni bora katiba mpya iangalie kwa karibu maslahi ya walipa kodi 98% kuliko kuburuzwa na kelele za 2% wanaotaka kujitenga kila kukicha. Serikali tatu ni mzigo, serikali nusu ya wa-Zenj haina maana, serikali moja ya JMT ndio jibu. Zanzibar iendelee na mikoa yake au waondoke kabisa kwenye Muungano.
 
Kwa hesabu za haraka haraka, ni asilimia mbili tu (2%) ya watanzania wanaishi Tanzania Visiwani (1.3mil), inayojulikana sana kama 'nchi' ya Zanzibar. 98% ya watanzania (zaidi ya mil. 40) wanapatikana Tanzania Bara, iliyokuwa Tanganyika huko zamani kabla ya Muungano (1964).

No sensi, na hapa ndio unaonyesha ukilaza wako katika kutahmini mambo. kama kweli hayo unayosema mbona Tanganyika haitowi kauli hizo kwa Burundi na Rwanda kwenye ushiriki wao katika East African Community, katika muungano hatuzungumzii uwingi wa watu au ukubwa wa eneo, tunazungumza maslahi ya nchi moja na nchi nyengine, na zaidi nchi ilio hai (Zanzibar) sio nchi iliokufa (Tanganyika), tangu lini maiti akawa na sauti?

Kama unataka kupaza sauti subiri Tanganyika ifufuke kutoka makaburi ya Kisutu ndio utakuwa na mdomo wa kusema kwa sasa ni mfu huna kauli, kuwepo au kutokuwepo muungano kutategemea Zanzibar maana ndio nchi pekee illio hai, katika Hili Tanganyika haina kauli, and shut up.
 
Kidogo ningekuelewa lakini kadri nilivyoendelea kusoma nimegundua kwamba wewe ni mgonjwa kwa kuita Tanganyika ni maiti. Nchi (as a constitution), lengo na kuwepo kwake ni kulinda na kutoa huduma kwa jamii (social security and services by any means possible!). 98% vs. 2% matters. Watu wengi pamoja na wewe hawajaliona hilo. Gharama ya kuendesha Zanzibar ni 2%; Bara 98%. Go figure.
 
Back
Top Bottom