G Game Theory Platinum Member Sep 5, 2006 8,545 835 Feb 27, 2008 #1 Kumbe naye alijilipuia kama Mrundi na mkewe Salva Rweyemamu! makubwa haya,haya uwanja wenu watu wa Lesta
Kumbe naye alijilipuia kama Mrundi na mkewe Salva Rweyemamu! makubwa haya,haya uwanja wenu watu wa Lesta
Katibu Tarafa JF-Expert Member Feb 16, 2007 989 51 Feb 27, 2008 #2 alikuwa anaishi birmingham, karibu na newtown.
Katibu Tarafa JF-Expert Member Feb 16, 2007 989 51 Feb 27, 2008 #3 bazamen mbona kimya,siku hizi naona umeadimika sana kule mtaa wapili au ni aje. Jpili nitakuwa mjini karibu tule kashata na kahawa
bazamen mbona kimya,siku hizi naona umeadimika sana kule mtaa wapili au ni aje. Jpili nitakuwa mjini karibu tule kashata na kahawa
YNIM JF-Expert Member Aug 29, 2007 2,207 37 Feb 27, 2008 #4 hamna lolote majungu matupu!!...........kumbe Brazameni wewe pia ni mtu wa kubahatisha, ok!.
M Masikini Jeuri Member Jan 13, 2008 37 4 Mar 25, 2008 #5 Jamaa yupo STATES, hajajulipua wala nini, mbona mnamzulia kijana wa watu. Hv ww BRAZAMENI umejilipua kikabila gani? Sema yako kwanza.
Jamaa yupo STATES, hajajulipua wala nini, mbona mnamzulia kijana wa watu. Hv ww BRAZAMENI umejilipua kikabila gani? Sema yako kwanza.