2 PROUD aka MR II aka JOSEPH MBILINYI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2 PROUD aka MR II aka JOSEPH MBILINYI

Discussion in 'Entertainment' started by Game Theory, Feb 27, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,572
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Kumbe naye alijilipuia kama Mrundi na mkewe Salva Rweyemamu!

  makubwa haya,haya uwanja wenu watu wa Lesta
   
 2. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2008
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 981
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  alikuwa anaishi birmingham, karibu na newtown.
   
 3. K

  Katibu Tarafa JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2008
  Joined: Feb 16, 2007
  Messages: 981
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  bazamen mbona kimya,siku hizi naona umeadimika sana kule mtaa wapili au ni aje.
  Jpili nitakuwa mjini karibu tule kashata na kahawa
   
 4. YournameisMINE

  YournameisMINE JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2008
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 2,460
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 145
  hamna lolote majungu matupu!!...........kumbe Brazameni wewe pia ni mtu wa kubahatisha, ok!.
   
 5. M

  Masikini Jeuri Member

  #5
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa yupo STATES, hajajulipua wala nini, mbona mnamzulia kijana wa watu. Hv ww BRAZAMENI umejilipua kikabila gani? Sema yako kwanza.
   
Loading...