1TB external HDD needed

Nina 2tb. Imej aa movies n series na miziki ya kizungu tu nauza kwa 200k.

‍♂️naenda zimbobo.
 
Mkuu sijakupata kidogo hapa.
unaenda dukani unanunua hard disk ya laptop, zinakuwa ni bei rahisi kuliko external inakuwa kama hivi
IDE%20HDD%20(1)-800x800.jpg


kisha unanunua na cover la HDD, hili cover linageuza hdd ya laptop iwe external hard disk. linakuwa kama hivi.
ORICO-3-5-Inch-USB-3-0.jpg_640x640.jpg


hapo unachomeka tu hdd yako kwenye hilo kava kisha unafunga, hdd yako ya laptop inakuwa external.
 
Back
Top Bottom