1st Congo War & Hutu Genocide: Mauaji ya kimbari yaliyosahaulika mashariki ya Congo

Thou ni utani ila kuna point hapa. Nakumbuka mpigania uhuru wa Burundi Prince Rwagasore alikua Mtutsi, huyu alitoa suluhisho kuwa Wahutu na Watutsi ''wafutwe'' kwa kuoana na kuzaliana na yeye akawa mfano kwa kuoa Muhutu.

Miezi michache kabla ya Burundi kupewa uhuru aliuawa na Watutsi wenye msimamo mkali. Ila naona hilo lingekua suluhisho la kudumu kma tu mzee karume alipotaka wazenji waoane bila misingi ya asili ili kujenga jamii isiyo na makundi tena.
Kufutwa kwa namna hiyo might be reasonable. Lakini sidhani kama msemaji wa kwanza alimaanisha kufutwa huku unakopendekeza wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechanganya habari. Waliouawa baada ya Kifo cha Maraisi hao wawili ni Watutsi wengi na wahutu wachache wenye msimamo wa kadri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sio typing error basi anaweza akawa sahihi..... Watutsi hawakuzidi laki 4 kufikia April 1994 hivyo haiwezekani vifo vyao kwenye genocide vizidi laki 4 hata kma wangekufa wote hivyo majority waliokufa ni wahutu haijalishi ni msimamo wa kati au wa juu. Ingawa hii ni mada ya siku nyingine
 
Mkuu Zitto Junior naona umechimba madini kwelikweli. Lakini sasa hivi chanzo cha haya makabila mawili kuwa na mgogoro usioisha mpaka leo ni nini ???
Hahahaha mkuu najua unafahamu kuwa hakuna mgogoro kivile ila unakuzwa na wanasiasa wachache kwa maslahi yao. Mfano hapo tunaona Banyamulenge walishaamua kukimbia ila wakapewa ''motisha'' wabaki kupigania "motherland"??

So naamini akipatikana Rais ambaye atajali inclusiveness hii migogoro itaisha ila kwakuwa inatumika kama mtaji wa kupata madaraka na kuigawa nchi basi sioni ikiisha kwa cku za karibuni
 
Mimi siyo nabii lakini anguko la Kagame litakuwa ni Congo DRC kwasababu ndiyo chanzo chake kikubwa cha nguvu ya kisiasa na kiuchumi.

Kigali wamemshindwa sasa njia rahisi itakuwa ni kumpigia Congo DRC: Ukiziba mirija yake kule Congo Mashariki basi utasikia vilio kule Kigali. Maadui zake wengi wanaufahamu huu udhaifu, washirika wake wa biashara wanaufahamu huu udhaifu na wakongo wenye akili wanaufahamu huu udhaifu.

Angekuwa muungwana mwenye kuona mbali basi angejenga mahusiano mazuri na Wakongo kuliko nchi nyingine yoyote hapa Afrika kuliko kuendelea kuwafanyia hujuma na kujikuta mtemi.
Hahaha naona umeongea kwa codes sana. Ina maana kipigo cha M23 kilio kikafika Kigali?
 
Kupeleka kagame ICC ni ngumu ama itachelewa kwa sababu ya maslahi flani ya wakoloni mambo leo,

labda mirija ya pk kupeleka dhahabu ya Congo kwa wakoloni ikizibwa, mashtaka kwa huyu jamaa sio muhimu,
Huyu jamaa ni wa kufyekelea mbali, kama yy anavyo wafyeka wenzie.
Lack of information Kule Darfur kumetokea nini kama Kagame ni nongwa why ICC haijawaifungua mashtaka ikamfungulia Bemba au Al Bashir kule Sudan?


Blackberry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupeleka kagame ICC ni ngumu ama itachelewa kwa sababu ya maslahi flani ya wakoloni mambo leo.

Labda mirija ya PK kupeleka dhahabu ya congo kwa wakoloni ikizibwa. Mashtaka kwa huyu jamaa sio muhimu.
Huyu jamaa ni wa kufyekelea mbali, kama yy anavyo wafyeka wenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na Juzi hapo PK Amenunua helcopter Mi-35 kama 4 na mi-28 kama 2 hivi akisubiri interahamwe wakatize kwenye anga zake ale kichwa kwa uzuri kabisa na huku operation ya kupiga interahamwe kule porini Congo ikienda sawia kwa kuuua viongozi wao na jana wamekamata kiongozi wa fdlr anasubiri kusafirishwa kwenda Kigali.
 
Wewe ndio unakosa Info sio kua hawazungumzii halafu kupora mali how? Kwa maoni yangu hizo mali wanazopora kama madini Kongo hivi yanaokotwa au kuna migodi na kama kuna migodi lazima ipo kisheria.


Blackberry

Hivi kama madini ya Congo ndio yamefanya Rwanda iwe vile kiuchumi hua najiuliza kwanini Bongo na yenyewe isifanye mpango ichimbe Almasi/dhahabu/Tanzanite/Copper zake yaliyoko ndani yaTz fasta fasta ili tuboreshe maisha tuache kulilia mabeberu maana madini yote yaliyoko Congo hata Bongo hapa yapo tena mengi mengi sana.
 
Jk analijua hili akashauri ila kuna mtutsi mmoja aliwaka na kutoa povu la karne.. yaani hawa jamaa uhasama wao wameuzima juu tu ila ukichimba chini kidogo kuna moto mkali sana unawaka ni swala la muda tuu mtashuhudiaa ngoja si wapenzi watazamaji tuendelee kucheki hii movie

Sent using Jamii Forums mobile app

Msimamo wa Kagame ulikua sawa kabisa na straight kwamba hawezi kuongea na interahamwe na msimamo ule ulimsaidia na wala hakuna mtu wa kuja kumletea story za kuongea na hao jamaa:either vita ipiganwe interahamwe wakishinda waikamate nchi au wakomae kuishi huko maporini Congo huku wakila matunda,mizizi na kubaka wanawake wa Congo huku wakiwindwa na kuuwawa na Rdf/Fardc au wajisalimishe kigali wapelekwe rehab kuondolewa takataka kichwani kama walivyofanyiwa wenzao na wawe re-reintegrated kwenye jamii ya wastaarabu.
 
Aisee huyu jamaa ni master,alafu ana intelijensia kali sana,anamaneno ya shombo mpaka mzee Kikwete alimtapika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sometimes PK jazba hua nyingi busara inashuka lkn mara nyingi shombo zake hua anazitekeleza kwa vitendo.

Kuna video niliiona Youtube kipindi Mobutu anatawala Wale wanajeshi wa zamani wa Rwanda waliokimbilia Congo walirusha RPG’s kwenda Rwanda. PK akasema Yesterday Somebody made a very big mistake, he shelled our territory and as usual if you slap my back I will slap yours (si unajua kile kiingereza chake cha Kiganda) na baada muda kidogo kichapo kwenda Congo kikaanza mpk kutolewa kwa Mobutu+destablisation ya Congo.

Juzi kwny mkutano aliwaahidi wanaosaidia waasi ku destablise Rwanda atawawapa dawa yao, baada ya siku kama 3 hivi wanajeshi wa Burundi wakauwawa wa kutosha kwenye boda kati ya Rwanda na Burundi na Warundi wakasema Wanajeshi wa Rwanda ndio waliohusika na shambulio hilo.
 
Kupeleka kagame ICC ni ngumu ama itachelewa kwa sababu ya maslahi flani ya wakoloni mambo leo,

labda mirija ya pk kupeleka dhahabu ya Congo kwa wakoloni ikizibwa, mashtaka kwa huyu jamaa sio muhimu,
Huyu jamaa ni wa kufyekelea mbali, kama yy anavyo wafyeka wenzie.


Sent using Jamii Forums mobile app

Kiufupi mimi sijawaiona Rwandese wana migodi Kongo ila naona n makampun yale yale ya Ulaya Australia na Amerika ndio wanamiliki mogodi kule hao rwanda wana migodi kongo ipi hata Tz makampuni yanaychimba migodi n hayo hayo ila kuna njaa kali tumebaki kulia lia Waafrica shida nini.


Blackberry
 
Hivi kama madini ya Congo ndio yamefanya Rwanda iwe vile kiuchumi hua najiuliza kwanini Bongo na yenyewe isifanye mpango ichimbe Almasi/dhahabu/Tanzanite/Copper zake yaliyoko ndani yaTz fasta fasta ili tuboreshe maisha tuache kulilia mabeberu maana madini yote yaliyoko Congo hata Bongo hapa yapo tena mengi mengi sana.

Wengi wa Watz wanapeta petty issues ambazo wanapewa na wanasiasa bila kufikiri hapa africa mashariki na kati nchi iko na rasilimali ni kongo inafuat Tz ila sasa tz maneno meeengi wakiona Rwanda inafanya mambo mazuri mfano shirika la Rwand Air liko juu sana Africa nadhani n la Pili badala ya ethiopia waTz wababak Rwanda inaiba Kongo kama kunaibika kirahisi wao wana jeshi kule kongo tena sehem konk why wamekaa tu kama wauza vitumbua au why Tz wasichimbe migod kwao na nchi yao ina kila kitu wamebaki nyeee nyee nyeee.


Blackberry
 
Sometimes PK jazba hua nyingi busara inashuka lkn mara nyingi shombo zake hua anazitekeleza kwa vitendo.

Kuna video niliiona Youtube kipindi Mobutu anatawala Wale wanajeshi wa zamani wa Rwanda waliokimbilia Congo walirusha RPG’s kwenda Rwanda. PK akasema Yesterday Somebody made a very big mistake,he shelled our territory and as usual if you slap my back i will slap yours(si unajua kile kiingereza chake cha Kiganda)na baada muda kidogo kichapo kwenda Congo kikaanza mpk kutolewa kwa Mobutu+destablisation ya Congo.

Juzi kwny mkutano aliwaahidi wanaosaidia waasi ku destablise Rwanda atawawapa dawa yao,baada ya siku kama 3 hivi wanajeshi wa Burundi wakauwawa wa kutosha kwenye boda kati ya Rwanda na Burundi na warundi wakasema Wanajeshi wa Rwanda ndio waliohusika na shambulio hilo.

Nchi kama America akiuwawa raia wake 1 n vita nchi nzima lazma utetee raia wako na mipaka yako sio kwenu Tz mmebaki nyee nyeee nye sijui chadema wamefanya ninI.


Blackberry
 
Back
Top Bottom