17 richest in Tanzania

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu


wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe



huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya
 
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu


wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi

5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe




huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya
naona makabachori na waarabu ndio wengi zaidi.kwa hiyo watz matajiri wazalendo ndio hao tuu?.
 
mbna jk, Riz, Chenge, Mkapa n.k. hujawasema, nina shaka na utafiti wako, ebu tupe data from reliable sources
 
Mbona Riziwani Kikwete hayupo? Mbona Ben Mkapa hayupo? Pia, kwa taarifa yako Rostam Aziz SIO MTANZANIA, YEYE NI MU-IRAN...
 
hakuna watu wenye majina km hayo hp Tanzania uliempatia labda fida hussein ila mengine yote chenga za uongo
 
hakuna watu wenye majina km hayo hp Tanzania uliempatia labda fida hussein ila mengine yote chenga za uongo

mimi nadhani mleta mada sio mtanzania pengine sio mwarabu pia mzungu! kwamba kapotosha majina makusudi? au ni kipofu tena keypads zimefutika!
 
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu


wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe



huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya
Nikiangalia hii orodha sioni hata mlipa kodi ,je kodi zao zinaendana na utajiri walionao,mi wote nawaona ni wachuzi tu na sio wafanyabiashara,hapo hakuna hata aliye na biashara inayowezwa kuitwa biashara halali,ni kama wale ma tycoon wa Russia(mamafia wa kirusi)hawa nao ni mamafia wa ki TZ
 
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu


wafuatao ni top 17 richest in Tanzania
1.Said Salim Bakresa
2.Mont oil.com
3.Fida hussein
4.Reginal Mengi
5.Rostom Azizi
6.Mohamed Dewji
7.Yusphu Manji
8.Michael Ngaleko
9.Mohammed Dharumasi
10.Nazir Mustapha Karamagi
11.All Mufuit
12.Edward Ngonyayi Lowasa
13 .Azizi Abood
14 .Nasoro Doll treavel
15 .Patel
16.Philimoni Ndisambulo
17.Freemon Mbowe



huhuhuuu tukiona linafaa tulipitishe kwenye katiba mpya

Hapa ni MZEE WA AZAM TU, wapi jeetu patel, Subash mzee wa estim, mzee mkono wa bank m, Maneck wa eximu, heritage insurance, alliance insurance mac group unatuwekea wana siasa, Anwar wa Tanzania road haulage,

Mkuu inaonyesha huna data. Eti mengi wa itv maweee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom