16 Channel DVR

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
15,037
16,031
Habari, Juzi nimezunguka hapa mjini kutafuta standalone DVR (Digital Video Recorder) lkn nikaishia kukuta za njia nane tena ambazo zinakuja na camera kabisa. Kiufupi kama mtu anafahamu mahali naweza pata mpya nahitaji msaada wa maelekezo ila bila camera maana tayari zilishafungwa ila DVR ndio imekufa nahitaji kubadili.
-Natanguliza shukrani kwenu!,
 
Umecheck Mlimani city? Kuna duka moja ukiingia kwenye kona baada ya CRDB na pharmacy.
 
Habari, Juzi nimezunguka hapa mjini kutafuta standalone DVR (Digital Video Recorder) lkn nikaishia kukuta za njia nane tena ambazo zinakuja na camera kabisa. Kiufupi kama mtu anafahamu mahali naweza pata mpya nahitaji msaada wa maelekezo ila bila camera maana tayari zilishafungwa ila DVR ndio imekufa nahitaji kubadili.
-Natanguliza shukrani kwenu!,

Mkuu unaweza kunipa specs za system yako? Unatumia camera zenye specs gani? Je dvr yako ina hard disk ukubwa gani? Ni nini changamoto unazozipata? Nauliza hayo kwa sababu na mimi nina mpango wa kuweka cctv kwenye makazi yabgu.
 
Habari, Juzi nimezunguka hapa mjini kutafuta standalone DVR (Digital Video Recorder) lkn nikaishia kukuta za njia nane tena ambazo zinakuja na camera kabisa. Kiufupi kama mtu anafahamu mahali naweza pata mpya nahitaji msaada wa maelekezo ila bila camera maana tayari zilishafungwa ila DVR ndio imekufa nahitaji kubadili.
-Natanguliza shukrani kwenu!,

Mkuu nenda kampuni moja inaitwa SSTL ( security systems T. Lts wako Kinondoni,Dunga street kanisani. Wanazo aina ya GANZ 16 Channel. Capacity ya Hd ni 1.2 TB
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom