15th September: LIST OF SHAME DAY

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Hii ni siku ambayo sitakaa niiisahau akmwe. Ni Siku Ambayo Dr. W. P Slaa aliiadhibu Vikali CCM pale Mwembe Yanga, Ni Adhabu ambayo mpaka leo CCM bado wanaendelea kuitumikia. Ni Adhabu ambayo Imeziua kile Kilichitwa " Kujivua Gamba kwa Maslahi ya Chama".

Ni siku ambayo kwa mara ya Kwanza Dr. Slaa aliwafanya Wananchi waichukie CCM na ndio maana Dr. Slaa amekuwa adui namba Moja kwa CCM na makada wake ambao kila wakipata Fursa lazima Wamtaje lakini ni Siku ambayo Dr. Slaa alikuwa Kipenzi Kikubwa cha wananchi wa Tanzania.

Najua Dr. Slaa yuko busy na Kampeni ila naomba akipata nafasi achangie japo Maneno juu ya hii siku na nini CHADEMA wanapanga kufanya katika siku ya Leo.

hii nisiku ya uhuru zaidi ya 1961.

VIVA SLAA DAY!
Leo ni siku ya uhuru wa pili wa watanzania maana mafisadi hadi leo hawajapata mahali pa kujistiri ila wanaficha sura mwili wote uko nje iko siku kitaeleweka na haki itachukua mkondo wake

Hii ni siku ambayo sitakaa niiisahau akmwe. Ni Siku Ambayo Dr. W. P Slaa aliiadhibu Vikali CCM pale Mwembe Yanga, Ni Adhabu ambayo mpaka leo CCM bado wanaendelea kuitumikia. Ni Adhabu ambayo Imeziua kile Kilichitwa " Kujivua Gamba kwa Maslahi ya Chama".

Ni siku ambayo kwa mara ya Kwanza Dr. Slaa aliwafanya Wananchi waichukie CCM na ndio maana Dr. Slaa amekuwa adui namba Moja kwa CCM na makada wake ambao kila wakipata Fursa lazima Wamtaje lakini ni Siku ambayo Dr. Slaa alikuwa Kipenzi Kikubwa cha wananchi wa Tanzania.

Najua Dr. Slaa yuko busy na Kampeni ila naomba akipata nafasi achangie japo Maneno juu ya hii siku na nini CHADEMA wanapanga kufanya katika siku ya Leo.
dah!!kweli bwana,hii ni sec uhuru kwa watanzania tunaolitakia MEMA taifa letu na watu wake,thanx mkuu kwa kuni apdate

Ni vema ikiendelea kuadhimishwa na wanaharakati wote nchini kwani ni wanaharakati wa kweli ndio watakaofanikisha upatikanaji wa uhuru halisi wa watz.
Ikiwezekana kuwe na special events ambazo zitaendelea kuwaadhibu mafisadi na waporaji wa mali za taifa hili.

mleta mada ungeweka hata kido aliyoyasema dr slaa au hiyo list na wale aliowaongeza..

Hatari kweli kweli
hatari tena mkuu.
Dr. Slaa alisema bungeni watu hawa washughulikiwe na serikali, akaambiwa anapayuka hovyo. Kwenye mdahalo pale ITV kama sikosei, samweli sita akamwambia Dr. Slaa kwamba anaokota makaratasi kwenye internet halafu anayaita ushahidi. Dr. Slaa akasema kwa kuwa serikali hii sio sikivu, na bunge hili halitaki kuiwajibisha serikali, basi naenda kwawananchi.

Nilikuwepo ,machozi yalinitoka na nilipotoka hapo nilimwomba Mola amulinde Dr. Slaa. Mungu aendelee kumubariki na amzidishie nguvu zake.

Back
Top Bottom