othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,657
- 9,043
ZWAZWA kweli wewe!!! Kwa kuwa Babaako ana MAWIFI basi unadhani kila mtu 😂😂😂😂 peleka upuuzi wako kwingine!!
Unaejua kuandika sasa...babaako ?? Upuuzi???...unajichekesha kama unapelekewa motoZWAZWA kweli wewe!!! Kwa kuwa Babaako ana MAWIFI basi unadhani kila mtu 😂😂😂😂 peleka upuuzi wako kwingine!!!
Unaejua kuandika sasa...babaako ?? Upuuzi???...unajichekesha kama unapelekewa moto
Basi mkumbuke yule anayeshikishwa ukuta kule ubelejiMm sitokaa nimkumbuke mshamba, mento yule (according to Diallo), mtekaji, mtukanaji, muuaji mkubwa yule. Never on the Earth!
Hizi siasa zenu za ukanda ni Kansa inalolitavuna Taifa hiliAtakumbukwa kwa
1) Kuwanyima watumishi nyongeza ya mishahara na madaraja kwa miaka kibao
2) Kuwanyima watumishi wa umma haki ya kuhama
3) Kuwakatalia wanufaika wa bodi ya mikopo kuwaondolea VRF
4) Kwa ukabila aliokuwa anaanza kupandikiza
5) Kwa chuki za kisiasa zilizokuwa zimeanza kushamiri. Apumzike kwa amani Magufuli.
=Kwa hayo hatuta msahau
Mh Samia ni zaidi ya kijito cha maji jangwani, ametufuta machozi na kuanza kutuondolea makovu mioyoni.
Hata ww unaweza ukaitwa kichaa na mtu yeyote anayekuchukia
Mtu mwenyewe wewe una faida gani sasa si bora umfuate Lisu tu,? View attachment 1854093
Mwenye faili milembe ni yule anayeshikishwa ukuta na rob amster. Mwanaume mzima kama una akili zako timamu na zinakutosha utashikishwaje ukuta?
Wamefikiri sawa maana hizo pesa sio za kulipa salary bali zinarudi kwenye mzunguko zikiwa zimeleta tija kuliko tungewaachia hakuna cha maana kingefanyikaMwaka huu niliona watu wanashangilia kodi kutoka 9 to 8 wakati jamaa alipunguza toka 11 to 9%, last year, ukweli jamaa alibalance mambo, sasa kwa hali hii ndg unaona kawaida tu?
Gharama kuongezeka kiasi hiki ni jambo la kawaida?
Petroleum wameongeza kodi wakati ndio source ya kila kitu tutegemee nini hapo.
Wamekuja na eneo la miamala ya simu, najiuliza sana, hii burden itabebekaje kwenye jamii???
Ukweli walipaswa kufikiri vinginevyo, Magufuli kwa mambo yaliyokuwa yanagusa jamii namna hii hakuwa akiyaridhia kbs....
Tunamkumbuka mpaka kesho