15 Investors Show Interest in Mchuchuma Coal Mine

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Written by Faraja Mgwabati
Daily News
7 January 2010


FIFTEEN firms have showninterest to invest in the Mchuchuma Coal Mine, the National Development Corporation (NDC) announced today.

NDC Managing Director, Gideon Nassari, said the process of scouting for a reliable investor has already began and was scheduled to be concluded in June, this year.

For more than a decade now, the government has been looking for reliable

investors for the mine located in Ludewa District, Iringa Region, said to be the largest coal deposit in the country.

Mchuchuma Coal Mine is expected to solve electricity problems in the country, by producing 600MW and openup an opportunity for extraction of Liganga Iron Ore, which is 50 kilometers from Mchuchuma.

Mr Nassari told the 'Daily News' today that the corporation announced the

Request For Qualification (RFQ) last month and that already 15 companies had until today applied.

Mr Nassari said the deadline for the submission of RFQ would be January 25, after which NDC would shortlist the applicants.

"Shortlisted applicants would later be required to present their proposals after visiting the site," he said He said the RFP would take about three months and there after proposals would be taken to the High Level Government Committee, which is led by the commissioner of mineral for advice and later to the Cabinet for the final decision.

He said the aim was to get reliable investor, with the best track record in dealing with big projects, such as those of Mchuchuma and Liganga.

He added that Mchuchuma and Liganga are integrated projects, that require a lot of investment in infrastructures such as road and railway lines to connect the two.

The extraction of Liganga Iron Ore would depend on completion of Mchuchuma since melting of iron would need excessive heat from coal, with the former expected to be a major stimulus for primary metal industries in the country.

According to NDC, activities before the commencement of the investment had already been completed, including sensitization programmes to people living in the areas on the benefit of the project.

Other activities, he said, included setting up dermacations for the two projects and preparation of Land Use Plan to enable farmers and livestock keepers to understand their boundaries.
 
Hii storri ya Mchuchuma toka tupo shule ya msingi, anywayz sijui kama wazee wa 10% hawajanusa hapo, usijeshangaa kusikia Rostam anapewa hiyo mchuchuma
 
Hii storri ya Mchuchuma toka tupo shule ya msingi, anywayz sijui kama wazee wa 10% hawajanusa hapo, usijeshangaa kusikia Rostam anapewa hiyo mchuchuma

Nyambala.....hiyo Mchuchuma & Liganga kwa bahati nzuri ni neighbours wetu......hizi habari za projects kutake off nilianza kuzisikia wakati napata akili tu kwamba nipo duniani!

Nakumbuka tulikuwa tunayaona magari yameandikwa Mchuchuma Project, kulikuwa na vijinyumba vimejengwa karibu na mlima Liganga, kulikuwa na wafanyakazi pale lakini baadaye vyote vikapotea.....and now hawa wanakuja na haya ya 15 interested coys......sijui, labda this time with Ufisadi is possible......nafikiri kipindi kile hazikuweza kutake off coz Nyerere labda hakuridhika na terms za wawekezaji.......while hawa jamaa may be caring about their 10% only!
 
Mchuchuma na Liganga ni wimbo ambao umekosa kibwagizo. Tangu tunazaliwa tunasikia hizi project lakini hakuna kinachofanyika. Wilaya zenye miradi hii bado zinapigana na umaskini wakati mali ipo na serikali inasuasua tu kila siku. Tanzania sio maskini isipo viongozi wetu wanatufanya tuwe maskini kwa sababu ya longalonga nyingiiiiiii.makaa ya mawe yangesaidia kupunguza ukataji miti ovyo. Tanzania tutaamka lini??
 
We just fools on this earth, tunategemea wawekezaji toka ulaya! Sweden na Urusi wanategemea sana chuma kuendesha chumi zao. na bahati mbaya sana tunawategemea wao kwa ushauri. plus many other countries developed they wont help us develop to block their way.

forget!
 
Reliable investor blah blah. Sisi tutakufa masikini Investor ni sisi wenyewe watanzania hivi nyie mlikwenda shule kusoma ili iwe nini?
 
Amepewa Subbash Patel, mmoja wa MAFISADI PAPA!!
Na mmoja wa wakandarasi wakubwa nchini kupitia Estim Construction.Kwasasa karibu majengo yote makubwa anajenga yeye. Amependelewa mashalaah
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom