Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Jaribu kulinganisha idadi ya mashambulizi ambayo Kenya imeyapata kutoka kwa hao magaidi kabla ya kupeleka jeshi Somalia na baada ya kupeleka? Sidhani kama Alshabab walikuwa wana tatizo na Kenya kabla ya kuamua kupeleka jeshi. Lakini kitendo cha nyie kuamua kupeleka jeshi kule ndiyo hicho kinachowafanya mnauawa hivi sasa. Anyway, whether mtalitoa jeshi lenu kule au hamtalitoa mtajua wenyewe, maana na rate ya kufanyiwa mashambulizi ya kushitukiza ndiyo inaongezeka kadri mnavyoliacha jeshi kule. Hata hivyo kwa sasa ni too late, kama ni maji tayari mshayavulia nguo, komaeni tu hadi kieleweke.Wewe naona una kasoro na pengine unaishi ugaibuni. Wakati makundi ya kigaidi zinajipanga na kuuunda majeshi kama tulivyo shuhudia pwani ya kenya/Mulungunipa na vikojozi vingine kama hawa, unatarajia GK isalie kwenya blanketi wakilala usingizi mwororo. kuna duru kuwa hawa wantafuta misitu ya kuaanza kutekeleza unyama dhidi ya raia. Wakati mwingine tutenge siasa mbali ikija kwa suala la ugaidi. Na tazama ninakuhakikishia majeshi hayataondoka Somalia, bali mashambulizi moto moto yataendelea itakayofanya AS warudi kufanya shughuli zao za uchungaji ngombe. Sioni haja ya kuinamia ukoloni mambo leo huku vikosi vya kigaidi vikimarika kila kuchao kwa sababu tu eti mwafrika hawezi.