Asilimia 13 fixed bank Vs UTT - kwa sasa wapi bora?

Nimegundua wabongo wengi Financial Literacy ni Zero. Peleka hiyo pesa UTT weka kwenye ule mpango wa Gawio la kila mwezi. Kwa hela hiyohiyo itakupa mkopo mwingine wa fedha isiyopungua 20m sasa hizo 20m ndio zungusha mtaani, mkopo wako utalipwa na Gawio la kila mwezi la uTT! Hii 20 ya mkopo hata kama utanuwea pombe ile 45 yako ya UTT italipa na deni likiisha unabakiwa na 45 yako. Hii ni elimu ndogo sana ya uwekezaji niliyokupa ila kama upo tayari kwa ushauri zaidi wa bure tu nicheki PM.
45m ukituliza kichwa ni pesa inayokutoa,.
Haya sasa ndio madini.
 
Most of the time banks ambazo zina offer interest rate kubwa ni zile dhaifu dhaifu. Huwezi kuta bank kama Crdb au Nmb zinatoa 12%

UTT wako vzuri wanachofanya ni kutengeneza pool ya wateja wadogo wadogo wengi ili waweze kukusanya pesa nyingi kwa uwekezaji mkubwa wa muda mrefu ktk Treasury Bills & Bonds
Kama kule wanapata 18% au 20%(Ongeza na Appreciation of Bonds) wakikupa 14% wakabaki na cha juu chao 4% (18%-14) au 6%(20%-14%) sio mbaya
 
Kwann usikopee nyumba
20220415_111638_transcpr.jpg
 
Wadau..katika kupambana na 45 Million sasakunabenk imeniahidi kuwa nawezaweka fixed kwa 13%kwa annum.Sasa najiuliza sijui niweke huku au UTT ambapo naambiwa ni pazuri ingawa sijapata ushahidi wa njisi palikopazuri kwa hali ya sasa.Je kwa wale mliowekeza UTT..na kwa kulinganisha na hii fixed wapi unanishauri kawa mazingira ya sasa
Kuwa makini na hiyo bank. Bank kubwa hazitoi hiyo interest. Labda unstable bank zinazoweza ku collapse.
 
Nimegundua wabongo wengi Financial Literacy ni Zero. Peleka hiyo pesa UTT weka kwenye ule mpango wa Gawio la kila mwezi. Kwa hela hiyohiyo itakupa mkopo mwingine wa fedha isiyopungua 20m sasa hizo 20m ndio zungusha mtaani, mkopo wako utalipwa na Gawio la kila mwezi la uTT! Hii 20 ya mkopo hata kama utanuwea pombe ile 45 yako ya UTT italipa na deni likiisha unabakiwa na 45 yako. Hii ni elimu ndogo sana ya uwekezaji niliyokupa ila kama upo tayari kwa ushauri zaidi wa bure tu nicheki PM.
45m ukituliza kichwa ni pesa inayokutoa,.
wewe mtoa ushauri unazo hizo 45m ngapi ..au ndo nawewe unamuita huko Pm ukamvune hio pesa kwa jina la consultancy fee .?
 
Nimegundua wabongo wengi Financial Literacy ni Zero. Peleka hiyo pesa UTT weka kwenye ule mpango wa Gawio la kila mwezi. Kwa hela hiyohiyo itakupa mkopo mwingine wa fedha isiyopungua 20m sasa hizo 20m ndio zungusha mtaani, mkopo wako utalipwa na Gawio la kila mwezi la uTT! Hii 20 ya mkopo hata kama utanuwea pombe ile 45 yako ya UTT italipa na deni likiisha unabakiwa na 45 yako. Hii ni elimu ndogo sana ya uwekezaji niliyokupa ila kama upo tayari kwa ushauri zaidi wa bure tu nicheki PM.
45m ukituliza kichwa ni pesa inayokutoa,.
hiyo UTT kwa mwezi pesa hii 45ml inaweza kuwa inatoa shingapi ya gawio???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom