13 february 2010

with 13th-february-2010 to some people I HAVE BEEN SO HARSH!.....
please forgive me guys
to err is human
I LOVE YOU ALL

Love you too Geoff wewe ni mwepesi wa kuomba samahani
God bless you na akutangulie pia katika shughuli hii muhimu sana kwako
msalimie mchumba don fogeti yooo
 
i am expecting to have my wedding mass at 15:00hrs at 13th-feb-2010,PAROKIA YA MAKAMBAKO-IRINGA

niko hapa mafinga kikaz hadi tar 20 feb. mchango tunatoa vip?

lazima nihudhurie kaka.ukihitaji hata usafiri nitakupa ili kusaidia na kufanikisha sherehe
 
i know it's hard for some to say i am sorry
i know it's hard for some to say NIMEKUSAMEHE(APOLOGY ACCEPTED)

but please find a place in your heart to forgive me and my crazy 13th-feb-2010

eehh! jambo jema...
 
Love you too Geoff wewe ni mwepesi wa kuomba samahani
God bless you na akutangulie pia katika shughuli hii muhimu sana kwako
msalimie mchumba don fogeti yooo

Afu na wewe mbona hujawahi kunikosea? Mi ukinikosea nakuchapa vibao afu nakuomba msamaha! Hahaha! How are mdada? Ubarikiwe.
 
niko hapa mafinga kikaz hadi tar 20 feb. mchango tunatoa vip?

lazima nihudhurie kaka.ukihitaji hata usafiri nitakupa ili kusaidia na kufanikisha sherehe

Nimekugongea SENKSI kule. Unatumia kinywaji gani? Mi ndo naandaa bajeti hapa, nataka binadamu siku hiyo wateseke na vinywaji!
 
niko hapa mafinga kikaz hadi tar 20 feb. mchango tunatoa vip?

lazima nihudhurie kaka.ukihitaji hata usafiri nitakupa ili kusaidia na kufanikisha sherehe

Geoff....umeiona hii?

Edson.....ubarikiwe sana!
 
Mkuu hongera kwa project ya feb 10, Kila kitu kinatokea kwa sababu...RIP dad.
Kuona ni Raha sana najuta kila siku nilichelewa wapi kuuoa. Mkipendana kwa dhati na na kusahau mambo ya mila mila na kumweka Mungu mbele utatamani Mungu akuweke 200 years on this planet ufurahie ndoa.
 
Hapa ni kipimo tosha cha upwa wa kwenye keyboard na uhalisia wa mambo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom