Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
I WILL BE THERE! (Naamini bia zitakuwepo, kama hazitakuwepo, naamini kuna baa jirani na ukumbi, so no worry)
send off ni wapi, moshi?
I WILL BE THERE! (Naamini bia zitakuwepo, kama hazitakuwepo, naamini kuna baa jirani na ukumbi, so no worry)
wewe zimo kweli?...loo
with 13th-february-2010 to some people I HAVE BEEN SO HARSH!.....
please forgive me guys
to err is human
I LOVE YOU ALL
i am expecting to have my wedding mass at 15:00hrs at 13th-feb-2010,PAROKIA YA MAKAMBAKO-IRINGA
i know it's hard for some to say i am sorry
i know it's hard for some to say NIMEKUSAMEHE(APOLOGY ACCEPTED)
but please find a place in your heart to forgive me and my crazy 13th-feb-2010
Love you too Geoff wewe ni mwepesi wa kuomba samahani
God bless you na akutangulie pia katika shughuli hii muhimu sana kwako
msalimie mchumba don fogeti yooo
niko hapa mafinga kikaz hadi tar 20 feb. mchango tunatoa vip?
lazima nihudhurie kaka.ukihitaji hata usafiri nitakupa ili kusaidia na kufanikisha sherehe
niko hapa mafinga kikaz hadi tar 20 feb. mchango tunatoa vip?
lazima nihudhurie kaka.ukihitaji hata usafiri nitakupa ili kusaidia na kufanikisha sherehe
We nimekusamehe kwa leo, ukirudia tena msamaha utaambatana na makofi! Ila kukupenda nakupenda sana dada yangu!
Xpin yaani harusi ya jirani ushaivalia kibway ahata sikuwezi lol!!I love you too MJ1! Ila sijakusamehe kwa kuwa hujawahi kunikosea!
aseee, ULANZI usikosekane bana.
Xpin yaani harusi ya jirani ushaivalia kibway ahata sikuwezi lol!!
Haya nakupenda pia kaka yangu ingawa .............
ULANZI ndio shampeni ya shughuli!