Hivi Kaizer yuko wapi?Michango inatolewa lakini?
i know it's hard for some to say i am sorry
i know it's hard for some to say NIMEKUSAMEHE(APOLOGY ACCEPTED)
but please find a place in your heart to forgive me and my crazy 13th-feb-2010
THANKS BRO!
i wish kwamba my dad should have seen my WEDDING....
MISS YA DAD
AHSANTE SANA MAMA!Pole mtarajiwa ni sehemu ya maisha kila mtu anapitia. Ni uchungu sana kwa kuwa Baba hatakuwepo kwenye ile siku Kuu but atakuwepo tu spiritually.
Mimi nimekusamehe na ninakupenda.
Pole mtarajiwa ni sehemu ya maisha kila mtu anapitia. Ni uchungu sana kwa kuwa Baba hatakuwepo kwenye ile siku Kuu but atakuwepo tu spiritually.
Mimi nimekusamehe na ninakupenda.
i am expecting to attend SEND-OFF CEREMONY for my wife,on 10th-feb-2010.i will have ten invitation cards for you guys.
please,I AM SO MUCH IN NEED OF YOUR COMPANY!
Hili sina mashaka nalo kwa huyu kijana! At least I can say that for now.Pole sana mkuu,kwa kuwa tarehe zinafanana na sababu zinginezo ni vizuri ukamuenzi kwa kuwa a good father kama alivyokuwa kwako bila kusahau kuwa a good husband which iam sure he was.
All the best buddy.
thanks PAL!count on me Geoff kama nilivyoaidi ni lazima nitatimiza ahadi
FL1
Hivi Kaizer yuko wapi?
michango inatolewa lakini?
Haa haa haaa !!afu na wewe kuna thread ya tigo kule, hebu nenda kamwage vyointi kule! ...
thanks pal!
Pamoja sana
weddings have never been easy!.....
AHSANTE SANA MAMA!
it hurts me a lots because with 13th-fe-2010 I HAVE CREATED ENEMIES and HATERS.
out of STRESSES AND BEING IMPATIENT i have found myself falling into quarrels with the people i love most...!
PLEASE FORGIVE ME,I WON'T STOP LOVING YOU GUYS
Afu na wewe kuna thread ya TiGO kule, hebu nenda kamwage vyointi kule! Hahaha! Michango itatoka tu, subiri watoto walipiwe ada kwanza!
Pole sana Geoff,ndo mambo ya dunia,ukitaka kumjua mtu na moyo wake pia ukoje ni wakati unapokua unaelekea mafanikio hapo ndo utawajua watu vizuri,usishangae kuona yule rafiki yako mpendwa ndo anakua msaliti namba moja.
point hiyo......
[/COLOR]
I love you too MJ1! Ila sijakusamehe kwa kuwa hujawahi kunikosea!