13 february 2010

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
wapwazzz,
hii ni sredi maalum kwa yale matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya project ya 13 february 2010, u know wat m saying???.
-je mpwazz, unampokea ........... kua mkeo kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe??
-je mpwazz uko tayari kuacha kudumisha mila na desturi za mababu??

YOU HAVE EXACTLY ONE MONTH TO GO.
 
hapa kwenye kuacha kudumisha mila ndio pananitia wasiwasi
 
wapwazzz,
hii ni sredi maalum kwa yale matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya project ya 13 february 2010, u know wat m saying???.
-je mpwazz, unampokea ........... Kua mkeo kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe??
-je mpwazz uko tayari kuacha kudumisha mila na desturi za mababu??
nipo tayari mkuu!
 
kweli upo tayari?? wewe wataka uulizwe kama mara nne hivi??????
ahahahha
nipo tayari mkuu wangu!
13th february 2010 NAOMBA IJE HARAKA!kuna matukio mengi sana yamejitokeza hapa katikati...!nitawaambia siku moja

thank you friend
 
hapa kwenye kudumisha mila ndio kuna utata mkuu, ARE YOU READY??
 
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI

i miss you dad!.....
 
pole sana binamu
 
My condolence from the bottom of my heart! R.I.P Geoff's dady! See you there one day!
 
with 13th-february-2010 to some people I HAVE BEEN SO HARSH!.....
please forgive me guys
to err is human
I LOVE YOU ALL
 
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI

i miss you dad!.....

R.I.P Mzee wetu.......!
icon9.gif
 
with 13th-february-2010 to some people I HAVE BEEN SO HARSH!.....
please forgive me guys
to err is human
I LOVE YOU ALL

We leo umeamkia upande gani? LOL! Mi nimekusamehe! Ukinikosea tena nakuchapa makofi! Ala!
 
wapwazzz,
hii ni sredi maalum kwa yale matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya project ya 13 february 2010, u know wat m saying???.
-je mpwazz, unampokea ........... kua mkeo kwa shida na raha hadi kifo kiwatenganishe??
-je mpwazz uko tayari kuacha kudumisha mila na desturi za mababu??

YOU HAVE EXACTLY ONE MONTH TO GO.

jamani wewe GP hapa ni nini?
 
We leo umeamkia upande gani? LOL! Mi nimekusamehe! Ukinikosea tena nakuchapa makofi! Ala!
i know it's hard for some to say i am sorry
i know it's hard for some to say NIMEKUSAMEHE(APOLOGY ACCEPTED)

but please find a place in your heart to forgive me and my crazy 13th-feb-2010
 
Back
Top Bottom