12 o'clock midnight = Saa 6 Usiku

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Is 12 o'clock midnight AM or PM? Kwa kiswahili ni saa 6 Usiku! Which one is correct? Is it AM or PM?

Is 12 o'clock midnight AM or PM? Kwa kiswahili ni saa 6 Usiku! Which one is correct? Is it AM or PM?

Mimi nadhani hutakiwi kuweka hizo AM au PM, kwa sababu ukishasema tu 12:00 midnight inaeleweka, au 12:00 noon inaeleweka pia ni mchana.

am -ante meridian (before midday)

pm -post meridian (after midday)

Asemavyo Masuke ni sawa; ukisema mid night au noon huna haja ya kuweka am au pm, unachagua kimojawapo.

Asante mkuu! Natumia kitu cha tochi ningeku-laiki kwakweli. Senkyu eni wei!

am -ante meridian (before midday)

pm -post meridian (after midday)

Asemavyo Masuke ni sawa; ukisema mid night au noon huna haja ya kuweka am au pm, unachagua kimojawapo.

AFTER MERIDIAN-AM
PAST MERIDIAN-PM

nilidhani hakuna kitu kama 12.00 am! saa sita usiku ni 00.00 am...
mi ndo maana natumia mfumo wa 24hrs,unaweza aibika. so saa sita usiku ni 0000 hrs (zingatia,hakuna nukta), saa tano usiku ni 2300 hrs (hii hrs lazma uandike)

Similar Discussions

Back
Top Bottom