11% iliyokuwa inakatwa kwenye salary inanipa shida kwa sababu sielewe inatoka wapi

Lenatuschacha

Senior Member
Jul 29, 2015
156
36
11% imebishaniwa sana mtaani na watu tumeshindwa kuilewa kwa sababu kwenye zile scale mfn TGTS C, D, E, F na kuendalea ukikakule income tax inatofautiana plz wataalamu wa haya watujuze.
 
ingia hapo ujionee hikii kitu kinaitwa payeee
Nionavyo kumbe kuna uwezekano wa watu wawili wanaopata kiasi sawa cha mshahara wakawa wanakatwa kiasi tofauti cha PAYE. Nasema hivyo kwa sababu kwa mujibu wa taratibu kabla ya kupiga hesabu ya PAYE inabidi kwanza utoe michango ya mifuko ya jamii ambapo katika mifuko mingine mfanyakazi anachangia 10% na mingine 5%. Kwa hiyo kama mimi napata gross salary ya Tshs. 1,000,000/= na kama nachangia 10% kwenye mfuko wa jamii PAYE yangu itatoka kwenye 900,000/= wakati mwenzangu apatae gross salary sawa na ya yangu na kama anachangia 5% yeye PAYE itatoka kwenye 950,000/=. Sijui kama niko sawa hapo?
 
yes uko sawa mkuu
 
Back
Top Bottom