11 die in grisly accident along Homa Bay-Kisumu road

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,550
2,000
KISUMU, KENYA: Takribani watu 11 wamefariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi la abiria(Matatu) kupoteza uelekeo na kupinduka.

Aidha inadaiwa kuwa baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo ni Wanafunzi waliokuwa wanarejea katika Shule zao kuanzia muhula mpya.

Kamanda wa Polisi wa Nyanza amesema kuwa baadhi ya majeruhi wamekimbizwa katika vituo vya afya katika eneo la Pap Onditi.
======
Optimized-Screen-Shot-2015-06-11-at-1.23.36-PM.jpg

Eleven people have been confirmed dead after a 14-seater matatu headed to Kisumu from Sirare in Migori County lost control and plunged into a culvert, killing the passengers on the spot.

According to Nyanza regional traffic commandant Andres Naibei, the fatal road crash occurred at Daima area along Katito-Pap Onditi road Thursday morning.

Mr Naibei says some of the victims were students who traveling to resume first term studies.

The traffic police boss says he, at the time of going to press, was unable to ascertain the exact number of those injured, given he is unaware of how many passengers had boarded the matatu at the time it was involved in the grisly accident.

Mr Naibei, however, said the injured were rushed to various health centres in Pap Onditi district.

Source: Citizen Tv
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,440
2,000
Inatisha kwa kweli, yaani ukifika salama siku zote shukuru Mungu. Pole sana kwa waliokutwa na haya majanga.
 

Razaky

Member
Mar 19, 2015
87
125
my colleague died at that accident..tulikua na yeye medskul...it occured a few meters from the hospital he was working at...mwenyezi mungu awaweke mahali pema peponi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom