11/11/11 in pictures: an auspicious day around the world | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

11/11/11 in pictures: an auspicious day around the world

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanajamii, Nov 13, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  [HR][/HR][h=1]11/11/11 in pictures: an auspicious day around the world[/h][TABLE="class: image"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Twin babies born at at a hospital in Ahmedabad. The girl (left) was born at 11:11:11am on 11/11/11, and the boy (right) at 11:11:10am. The palindromic timings of the birth are considered significant by many people in India, especially for those who consult numerologists and astrologists.
  Picture: REUTERS
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  uongo! ina maana wamepishana sekunde moja tu hao watoto? sijui huyo mzazi alikuwa anawatema kama samaki?
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mashallah! tusibishe sana, anaweza kua amezaa kwa njia ya upasuwaji.
   
 4. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  And if that is the case, inawezekana kulikuwa na timing ya muda huo....
   
 5. D

  Dopas JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  We mwali upasuaji ndo wanatoka haraka?
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndio maana yake. Si umesoma hapo kua wana ushirikina fulani? basi walivizia na wakataka wote watoke at the same time ila mmoja akawahi...

  Kwa kweli sina uhakika ila kama madaktari ni wakutosha mmoja akitoka tu na wapili anatolewa. Kuzaa kwa upasuaji ni haraka sana, kinacho chukua muda ni matayarisho na kule kushona na vingine. Ila wakati wa kuzaa ni haraka sana. Inawezekana.
  Alafu kaka (usione vibaya kwa ninayotaka kusema) ningependa uniite Mwali tu, usiseme "we" mwali. kwetu ni kama alama ya dharau...
   
 7. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Hhahahaaa, "WE" Mwali wewe huishi mambo wewe.....lol, nimesahau, nta-edit kutoa hiyo "we"
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kuna kitu unatafuta kaka Cathode... utakipata, shauri yako.... :)
   
 9. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Lol, hadi hapo nshakipata......ona ushakwazika wakati mwezako nafurahi huku, itabidi turudi kuleee kwenye lile thread letu la kusameheana....hahahaaaa.....SMILE basi uongeze siku
   
 10. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ni sababu ya thread ile tu ndio maana nimeshindwa kukasirika maana najua unaroho nzuri, huwezi kua umesema kwa nia ya kunikwaza, ulitaka nicheke tu, na ndio maana nimeweka kale ka'smiley'... :)
  kwa kifupi hakuna kusamehe sababu hujanikosea
   
Loading...