103.3 Classic FM

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
3,613
5,100
Haloooo hii stesheni ni moto wa kuotea mbali wakuu, ni mwendo wa ngoma kali mwanzo mwisho, mchanganyiko na ngoma kibao za zamani hasa bongofleva, itafute utafrahi. Clouds, wasafi tupa kule.
 
Mkuu wewe ni mgeni hapa town nini? Hiyo mwanzo ilikuwa ngeli mwanzo mwisho.Sijui wamekuaje siku hizi wanatuboa sana wale wapenda radio za ngeli hadi tunasikiza 95.3 bila kupenda
 
sio mgeni mkuu sema clouds iliniteka, hii stesheni ni ngoma mwanzo mwisho hakuna cha stori wala matangazo ya ovyo ovyo
 
103.3 mkuu
Wasafi fm ni shigidi 88.9 kuna vipindi viwili tu my favorite one The story book na Block 89.
.
Matangazo ni lazima pesa za uendeshaji baba na yapo kila saa jingine linapoingia kama dk mbili tu baada ya hapo ni mauwaji ya wasafi DJ's .
.
Mtu mbaya Dj lucky, dj jacko, dj 7, na kuna fire zingine ni motooo
 
Ha ha ha, inajitahidi mkuu lkn bado kwa level ya 103.3
 
ilikua ya ngeli tupu (akina lady haha, abby, seba the warrior, jimmy kabwe, dee andy) , walibadili mwezi huu tarehe moja na kufanya steshen ya kiswaili, na ndipo apo nilipoacha kusikiliza
 
Hivi mbona kuna ka harufu ka hii station kuwa na binamu wa Clouds Fm

Naona ilee show ya Bagamoyo mwezi October wanaitangaza
Pia wanatangaza ujio wa Fiesta Mwanza na kutuomba tulipie Clouds plus TV
 
Classic na Choice FM ni za Clouds
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom