101 Motivational Quotes

M

MegaPyne

Guest
“People often say that motivation doesn't last. Well, neither does bathing - that's why we recommend it daily” – Zig Ziglar

By definition motivation means that which motivates, that which makes us take action towards our desired goals and which gives purpose and direction to those actions. Now we all know that very often we lose our motivation and we allow procrastination to dominate our life. With out our motivation we stop taking action and doing the things we really want to do, we stop achieving the things we really want to achieve and we stop believing we are capable of becoming who ever we want to be.

The secret to beating procrastination is that we need to keep motivated. Every day we must do something, anything that gets us motivated, whether it’s listening to your favourite song, going for that morning run or simply reading some quotes. Every day we must motivate ourselves because when we are motivated we have energy, we have ideas and we have dreams and we pursue those dreams with our unbounded faith that we will achieve them and more.

To help you stay motivated I have compiled some of the best motivating quotes from famous speakers and historical figures. Read just a few each day and contemplate the meaning and philosophy behind each quote. Pick your favourites, the ones that resonate with in you and stir up a desire to get moving and take action.

Write them down and place them where youcan see them each day – at home, at work, in your car, in your wallet, inyour purse, in your briefcase, anywhere and everywhere. That way at anytime wherever you are and whatever you are doing you will always have your daily dose of motivation.

Steven Grabek

Click here to download the quotes now.
 
"People often say that motivation doesn't last. Well, neither does bathing - that's why we recommend it daily" – Zig Ziglar


MegaPyne kama utaniruhusu, ningependa tuendeleze hii tread kwa kuorodhesha QUOTES zitokazo kwenye signature za wajumbe wa JamiiForums.
Kwa atakayependa aweke hapa quote moja tu kwa siku - quote iliyokupa inspiration, na kuitolea maelezo kidogo kama unayo.

Sharti la pili, hiyo quote iwe ni ya member mwingine na sio kuji-quote.
Kumbuka, post only one quote per day and that the source of the quotes should be JF pekee! :)


Naomba kuwasilisha.


.
 
"Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded." - JK Nyerere, 1964



Signature ya mwanahabari

Nilikosa cha kuongezea nikaamua ku-google baadae nikatua hapa, cheki post number 23 Mkandara akimuuliza mwanahabari.

.
 
"Mheshimiwa Mwakiyembe umewaonea akina Lowasa na kwa maneno yako mwenyewe huo ni ushahidi ulio wazi, kama uliamua kutenda haki wewe na wenzako hamkutakiwa kuacha hata tone la maji lililoanguka ndani ya bahari,
....pengine uliona kuyaweka na hayo mengine hadharani utaihatarisha CCM nzima lakini sasa yanakujia majuto. Kamati za ukweli zinatakiwa ziweke kila kitu open tena open isiyo na doa kila aliehusika asipate upenyo wa kusema ameonewa."





.
 
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown


That's from Mtu wa Pwani's signature​



.
 
Mimi binafsi sioni tatizo la Maandamano makubwa Tanzania nzima kuonyesha kilio chetu kwa tunachofanyiwa na kundi dogo sana la Watanzania wenzetu ndani ya Taifa letu wenyewe.

...Maandamono yanaweza yakawa makubwa kama nini!! hata kama Ya mwaka 1967. Hilo linawezekana kabisa.

Swali la msingi: Chukulia maandamano yamefanyika Tarehe 5 Febuary 2008. Hii ni Tz, surely yatamalizika Salama, tutapumzika na kuyasimulia..jioni nzima baadaye we go to sleep! Tarehe 6. Febuary 2008 itafika. Siku moja baada ya maandamano, How do we proceed from there? Viogozi Ni walewale? Mifumo ni ileile au?

Personaly inanipa shida. Kuna wakati nafikiri hivi; kama tunamaanisha kweli..Then mbona jibu liko wazi?. Kuwaondoa viongozi wote mafisadi katika ngazi mbalimbali za kitaifa. Nani haoni hilo ndilo jibu..atlist lorgicaly! But Kesho asubuhi itafika tutatizamana...TUTAWAKUWA TUMEWA_REPLACE WAKINA NANI? WATAKUWA GROOMED FROM WHERE AND HOW.....? NAONA DILEMMA TUPU!! Radical changes zinafanyikaje??






.
 
Tatizo kubwa ni kutokuelewa haki ambayo wananchi wanayo kumuondoa madarakani rais ambaye anashirikiana na majambazi kuiba pesa ya walipa kodi.

Angalia Italy Prodi ameisha chemsha wakati sisi tunamwachia tu na kufanya anavyotaka, hata wabunge ambao ndio wangekuwa mstari wa mbele wanafyata mkia, kazi ni kubwa.






.
 
Kwa muda sasa nimekuwa nikipitia ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa serikali ya mahesabu ya serikali ya mwaka wa 2006-2007 ulioisha Juni 30, 2007. Ingawa nimekuwa nikipitia ripoti hiyo mara kadhaa lakini jana kwa namna ya pekee it hit me! Hatuna usimamizi wa fedha (which is understatement); siyo tu ripoti yenyewe inashtua lakini mambo yanayotajwa yanaudhi na kama una moyo mwepesi unaweza kujikuta unapata kiungulia cha ubongo.

Hebu angalia mifano ya kile ambacho CAG alikigundua katika uchunguzi wake na maneno anayotumia kuelezea...






Sitaki kuongea na mtu sasa hivi, maybe I should go straight to the gym!


.
 
Mukandara kupewa uongozi wa UD ni shukrani toka kwa JK
kwani yeye ndiye aliyewabunia slogan yao ya Ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya ambayo imeonekana kuwateka sana watanzania ila kumbe ni wizi mtupu

Na mimi natofautiana na watu mnaosema kuwa JK ana nia ya kuiendeleza Tanzania, hapana hapana kabisa. Nia gani hiyo wakati mnajionea kabisa kuwa anagawa uongozi kwa kuangalia urafiki na kulipana fadhila...




DEC 2005 Kikwete aliulizwa maswali haya katika mahojiano na Ippmedia:
Q: What criteria would you apply in appointing ministers and other key officials ?


Q: How about the mwenzetu syndrome, whereby it is alleged that some individuals who lack requisite credentials are appointed to important posts and when they mess up, they are not dropped but are perpetually re-cycled. This is allegedly based on sheer friendship as well as other affiliations not connected with merit. Do you see this as a problem ?


What to you think were his objectives or visions on his political aspirations to become a president? :)

Hapa anajibu swali,
Q: What should Tanzanians and their well wishers expect from a JAKAYA MRISHO KIKWETE administration?
A: If I win the election, I will naturally be happy. But my bigger joy would spring from having Tanzanians happier at the end of my tenure, than when they were at its beginning.



BIOGRAPHY
Wikipedia
www.bunge.go.tz ...??? (The website is extremely slow!)



.
 
Mkuu Mwanakijiji,

Maoni yako yamenipeleka mbali sana. Umenikumbusha enzi za TANU ilipoanza.
Waasisi wa TAA na baadae TANU walikuwa na idadi kubwa sana ya Waislamu. Hili halikuwa jambo la kushangaza kwa kuwa harakati hizi zilianzia Dar-Es-Salaam ambako wengi wa wakazi wake ni Waislamu. Kwa hiyo hata idadi ya wafuasi pia walikuwa wengi ni Waislamu.

Uhuru ulipokaribia, nafasi muhimu za uongozi ghafla zikaanza kuchukuliwa na waliokuwa Wakristo. Mmoja wa wazee waasisi Sheikh Suleiman Takadiri, katika mkutano wao pale ofisi za makao makuu ya TANU mtaa wa Lumumba, akamuuliza Mwalimu Julius Nyerere, imekuaje mbona ghafla hivi tunaona idadi ya Wakristo katika viti nyeti inazidi ya Waislamu na sisi ndio tuko wengi zaidi?

Mwalimu akamgeuzia kibao kwa kumwambia, wewe mdini sana. Umejuaje kuwa idadi ya Wakristo katika viti muhimu vya uongozi iko juu zaidi kuliko ile ya Waislamu. Bila shaka huo udini wako ndio uliokuacha wewe unahesabu watu na dini zao wakati sisi tunashughulikia harakati za kupata uhuru.




.
 
Tatizo letu wanaJF - we're quick to shift from the main point to the minors. Naomba nirudi kwenye mada yangu ya nini kifanyike. Hili la Kikwete is completely trivial. Nini tufanye? Kwa sababu kikwete has realized his dream of becoming a president and as far as he's concerned he is done. Matatizo yetu watanzania bado yako pale pale. We're yet to realize our dream. Tufanyeje?





Watu wengi wasingekuwa tayari kujitokeza wazi. Zito alijaribu. Mjadala wake ulikuwa mkubwa sana.

Nashauri tuanzishe "Jukwaa" la Hazina ya Uongozi Tanzania. Tujadili sifa za viongozi tunaowahitaji na majina ya potential leaders tukizingatia hasa CVs zao. Na baadaye kuangalia namna ya kuwa-encourage kujitokeza.
Tatizo letu tunadhani bado tunaye Baba wa Taifa. Tunaamini kwamba kwenye NEC ya CCM kuna mtu ana uchungu sana wa taifa hili na kuna siku atatuletea kiongozi bora. Hilo halipo. Mwenye sikio na asikie.
Wanasiasa wametuvuruga. Inabidi tuangalie kundi jingine kwa viongozi.





Tafadhali usiache kufuatilia hiyo discussion ya "Tumtegemee Rais Mwingine?"





.
 
Wanaotukwamisha sio kwamba hawajui wanachokifanya, si kwamba hawaelewi siri ya mafanikio ya Botswana. Wanaelewa sana na la kufanya ili tusonge mbele wanalo, ila hawawezi kufanya hivyo maana wanajali matumbo kwa kuona mbele ya pua zao tu...

...Sasa kwa hali ilivyo haki ya Mungu tutakabana sana hapa Bongo, sasa wakipita tunazomea, itafikia mahala tutakuwa tunavizia mawaziri/wabunge ama viongozi kwa mishale maana hiyo haihitaji kibali cha tibaigana. Sijui, lakini...???







.
 
A WOMAN SHOULD HAVE ...

enough money within her control to move out and rent a place of her own,even if she never wants to or needs to...

something perfect to wear if the employer,or date of her dreams wants to see her in an hour...

a youth she's content to leave behind....

a past juicy enough that she's looking forward to retelling it in her old age....

a set of screwdrivers, a cordless drill, and a black lace bra...

one friend who always makes her laugh... and one who lets her cry...

a good piece of furniture not previously owned by anyone else in her family...

eight matching plates, wine glasses with stems, and a recipe for a meal,that will make her guests feel honored...

a feeling of control over her destiny.

EVERY WOMAN SHOULD KNOW...

how to fall in love without losing herself.

how to quit a job,break up with a lover, and confront a friend without; ruining the friendship...

when to try harder... and WHEN TO WALK AWAY...

that she can't change the length of her calves, the width of her hips, or the nature of her parents..

that her childhood may not have been perfect...but its over...

what she would and wouldn't do for love or more...

how to live alone... even if she doesn't like it...

whom she can trust, whom she can't, and why she shouldn't take it personally...

where to go... be it to her best friend's kitchen table...or a charming inn in the woods...
when her soul needs soothing...

what she can and can't accomplish in a day...a month...and a year...
 
...Hii ni njia ya kawaida kisaikolojia inayotumiwa na wanyonge katika kujiridhisha (consolation), lakini ni njia ambayo kwa hakika haisaidi kutatua tatizo walilonalo. Kwa maana ingine, so long as tumeamua kuwalenga vibonde wetu, akina Rostam, kwa kuwa tumegundua kuwa haya majamaa ya CCM-JK na wenzake, hatuyawezi, tutaendelea kujifurahisha kwa kuwazomea akina Rostam na akina Mkapa (waliokwisha toka madarakani) lakini tutaendelea kubaki na ufisadi wetu. Of course it hurts, it really does!​







.
 
"...Simba akiingia nyumbani kwako na kula mtoto wako halafu usimchome mkuki kwa kutegemea kuwa akishashiba ataondoka na kukuacha wewe, mke wako na watoto wengine, basi ndugu zako wengine watakapokuja kukutembelea watakuta nyumba yako ikiwa tupu."

Tukimfahamu fisadi sasa hivi kwenye nyumba yetu, lazima tumchome mkuki mara moja bila kusubiri aondoke mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom