10 Reasons why the Article 400A of the Companies Act of Tanzania ( as amended by parliament ) will discourage Foreign Direct Investment in Tanzania

Ukishaona ZITTO anapigia kelele jambo, ujue lina MASLAHI KWAKE na kwa wenye PESA!!!!

SHERIA IPO WAZI

Kampuni yako ITAFUTWA KAMA UKILETA HATI ZA UDANGANYIFU.....

Zitto na Makuwadi wengine wa mabeberu wanatetea mtu akileta VYETI FEKI Kampuni yake isifutwe bali apigwe faini tu!!!!! UPUUUZI.....

UKIAMBIWA ULETE TIN NUMBER wewe ukaenda kuchongesha ya kwako kariakoo UFUTWE TUUUUUU
 
Leo nimesoma habari kwa mujibu wa Meneja Miradi wa Dar Stock Exchange kwamba kwa wiki moja ununuzi wa hisa umepungua kwa 91%.

Mauzo wiki iliyoishia Juni 28 yameanguka kwa 91% ukilinganisha na mauzo wiki iliyoishia Julai 5.
 
Ukishaona ZITTO anapigia kelele jambo, ujue lina MASLAHI KWAKE na kwa wenye PESA!!!!

SHERIA IPO WAZI

Kampuni yako ITAFUTWA KAMA UKILETA HATI ZA UDANGANYIFU.....

Zitto na Makuwadi wengine wa mabeberu wanatetea mtu akileta VYETI FEKI Kampuni yake isifutwe bali apigwe faini tu!!!!! UPUUUZI.....

UKIAMBIWA ULETE TIN NUMBER wewe ukaenda kuchongesha ya kwako kariakoo UFUTWE TUUUUUU
Sheria hiyo hiyo ibara ya 16 ipo wazi kwamba kampuni ikipewa certificate ya Incorporation ni uthibitisho kwamba utaratibu wote ulifatwa ipasavyo yaani kila kitu kiko safi. Sasa inakuwaje kuwe na fraud?
Sasa certificate ya nini?
 
Back
Top Bottom