10 Reasons Why African Men DON’T ROCK!

this is a beautiful writing if i may add......im gona have to agree with it on SO MANY aspects plus ni kuwa there strong assets are actually their weak points. Id like to see more MEN not just African men being happy for the women actually on top and doing what they do. Coz Lord knows these men cant stand to see a woman on top.......na mtajibeba mwaka huu....more than 50% of college attendees are women!!!
 
Jamani hebu tuongeeni ukweli wanaume humu haya mambo tunaonewa kweli? Au ni ukweli halisi tulio nao.
 
Ama kweli mwisho wa mwezi kuna mamboi! Naona uko kimkakati mke mwenza! Full kufyagilia!
Hahaha!...taratibu mke mwenza watanistukia bana... Si wajua hizi tarehe habari gani hugeuka kuwa how are you?.. Siri yako lakini...
 
Wachunguzi wanadai kuwa Idd amini Dada was just a small boy before his wife,however what an article says is very true for most of men ,lakini mimi nimeshabadilika siku nyingi sana.
 
Back
Top Bottom