sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Mi pia nimemstukia mda mrefu kuwa anachafua CV yako... kachukue soksi zako bana si bora hata ungemwazima kloro avalie zile raba zake zinavyomtokaga miguuni hadi huruma!..Unachafua CV yangu wakati waifu wangu SL yuko niombe radhi kama sijaja kukunyanganya zile soksi nilizokuazima